love

  1. M

    JamiiForums Tanzania Here are 12 special personality traits that people who like to be alone possess

    Here are 12 special personality traits that people who like to be alone possess. People who enjoy solitude often have unique and special personality traits that set them apart from those who prefer social interaction. While they may be misunderstood as being unsociable or lacking social skills...
  2. JamiiForums Tanzania Valentine's day, what can you do?

    Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love and appreciation for that special someone in your life. While the traditional approach to...
  3. JamiiForums Tanzania Good bye my love safari njema

    Wapenzi watazamaji , na mnaomchukia unique flower kipenzi changu kinasafiri Kiko hapa mswety I love u so much safari njema.๐Ÿ’•โค๏ธ My heart beat My kindness My unique flower my life my water . Come back soon 2weeks ni mbali sana mwaa๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿฅฐ
  4. D

    JamiiForums Tanzania Money is not love, but sex

    Iko hivi nimefanya research simple tu ya hii kitu. Ukitaka kupiga na kusepa au nothing serious utashangaa tu unatumia pesa nyingi sana kwa mwanamke. The long term relationships mostly if not all, are cheap, yaani mna vibe tu mnalink up and it goes. What to learn; Never put economy effort on...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuwa na akili pale tu anapokuwa hajazama kwenye mapenzi

    Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee. Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye mapenzi. Ni dhahiri kwamba mwanamke ni mwaminifu kwa hisia zake tu.
  6. JamiiForums Tanzania Love me the way I am

    Love me the way I am. Ni sentensi moja ya kipumbavu sana, wanawake wanatumia hasa pale akijua ana tatizo na hataki kulitatua. Kuna situation hiyo statement inaweza kua na mantiki mfano una chongo, au ulemavu wa aina yoyote ile ndio unaweza mwambia mtu love me the Way I am. Ila kama...
  7. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Sumaya Fate of Love

    SUMAYA FATE OF LOVE SEHEMU YA PILI Lakini alijitahidi asioneshe hilo kwa Mama yake lakini damu ni nzito kuliko maji Zuleya aliitambua vema hali aliyonayo Sumaya nae alificha hilo mpaka atakapo pata nafasi ya kuzungumza nae kwa uzuri zaidi na hata hivyo tabia za Sumaya hazikuwa tofauti sana...
  8. JamiiForums Tanzania Simulizi: Sumaya fate of love

    Ni simulizi inayohusu familia, mapenzi, kazi na safari ya maisha kwa ujumla. Ungana na mimi katika simulizi hiiโ€ฆ.. SEHEMU YA KWANZA TANZANIA 1995 โ€œPushhhhhh!!!!!โ€ โ€œMrs Hernad jitahidi sukuma mtoto yupo karibu kutoka jitahidi yaani bado kidogo tu.. sukuma!!!โ€ โ€œNurse I canโ€™t.. do it anymoreโ€ฆ...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Dk. William Ruto nimependa IQ yako, Commitment, daring na your Love for Kenyans, ila huna Uchumi wa kutenda Uliyoyaahidi

    Na hapa ndiyo Kosa Kubwa Marais wengi Wateule hasa wa Barani Afrika huwa mnafanya kwa kuja na Honey Speech zenu tena za Kusisimua na kutia Moyo ila implementation huwa ni Zero. Rais Mteule wa Kenya Dk. William Ruto baada ya kukusikiliza Kiumakini na Hotuba yako ambayo kwa 90% imelenga Uchumi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  11. JamiiForums Tanzania Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  12. JamiiForums Tanzania The banister is awesome, Iโ€™m in love with it

  13. JamiiForums Tanzania Upendo ni lugha ya vitendo sio ya maneno matupu, kama huamini mwambie mbwa I LOVE YOU kama atakuelewa

    Upendo ni jambo adhimu sana ambalo sisi wanadamu ni lazima tulifanye, sio tuliongelee tu. Mbwa ukimwambia I LOVE YOU hawezi kukuelewa. Ila ukimuonyesha upendo atakuelewa sana, na atakupenda pia. Je, huyo unayemwambia unampenda, je unamuoneshaje huo upendo? 1 KOR 13 Karama ya Upendo...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimpotezea anayekupenda kwa dhati ni deni lazima utakuja kulipa

    KARMA says; You'll certainly fall in love with someone who doesn't love you at all. Infact you'll be his/ her pet hate...she/ he will hate you with a great passion ....Just because you didn't love back someone who loved you so much before.In this case,KARMA will be playing its role in terms of...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta 'Love partner'

    Habari za jukwaani, NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano, Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa Rangi...! Naomba Kwa aliye muelewa na aliye tayari aje PM tufahamiane zaidi
  16. JamiiForums Tanzania Love bite sehemu ya kwanza

    LOVE BITE โ™ฅ๏ธ๐Ÿ”ฅ SEHEMU YA KWANZA ( 01 ) Ni siku ya jumapili iliyokuwa na kila aina ya mchanganyiko wa watu kutoka sehemu mbali mbali walionekana kwenye kumbi za starehe. Wengi ambao walikua wanapenda taarab basi walijazana travertine hotel kuwaangalia jahazi. Kwa wengine wanaopenda bongo...
  17. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    ๐—ง๐—›๐—˜ ๐— ๐—ข๐——๐—˜๐—ฅ๐—ก ๐—ช๐—”๐—ฅ (๐—ฉ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ) ๐— ๐˜๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ:๐˜€๐—ฎ๐˜‚๐—น ๐—ฑ๐—ฎ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฑ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ: 0756862047 ๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ญ๐—œ... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  18. JamiiForums Tanzania Kupitia Macho Yangu with passion for Love

    Uzi huu ni wa mapenzi wenye mfululizo wa picha za kustaajabisha zinazoakisi upendo kwa njia tofauti tofauti. Pia kutakua na nukuu zinazohusu mapenzi yan maneno matamu yenye upendo wa dhati na yanayogusa moyo na kuvunja moyo. Karibuni
  19. JamiiForums Tanzania Love others as you love ur self Mama Prove them wrong

    Life is Love on my side I real Appreciate Mama Samiah as the president she is doing well No bullets No Kidnap No injustice RIP JPM RIP Benjamin As well There's someone else called Sabaya from Massai tribe i guess so I wish this man to save his lifetime in Jail at least 80 years so Mama please...
  20. JamiiForums Tanzania Wajumbe tupeane "connections"

    Habari za muda huu 'Wajumbe'. Heshima yenu nawapa... Nimekaa na kufikiria sana, nikagundua karibia kila mtu anahitaji mtu mwingine kwa ajili/sababu flani flani ili kuwezeshana kufika mahala fulani. Maisha ni kutafuta na kutegemeana. Hivyo basi, hata uwe katika hali nzuri sana 'Title', hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ