location

In geography, location or place are used to denote a regions (point, line, or area) on the earth's surface or elsewhere. The term location generally implies a higher degree of certainty than place, the latter often indicating an entity with an ambiguous boundary, relying more on human or social attributes of place identity and sense of place than on geometry.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ๐Ÿ‘‰ Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. ๐Ÿ‘‰ Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. ๐Ÿ‘‰...
  2. Kwa wale mnaopenda hacking; Kuna tool inaitwa AndroRat unaweza hack Android device remotely ukasoma texts, calls, hadi location ya muhusika.

    Habari wakuu Kwa watumiaji wa Kali Linux hii ni bab kubwa, hapa nawaza nianze kuifanya kama biashara najua vijana watakao hitaji kumiliki simu za wapenzi wao ni wengi. Ipo hivi. Kuna tool inaitwa AndroRat , Andro kama ufupisho wa neno Android, na Rat kama ufupisho wa neno Remote access...
  3. Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  4. Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  5. Tupeane location za studio za Picha nzuri (HD) mkoani DSM

    Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa...
  6. Naomba kujuzwa location ya Saphire glass industry

    Nawasalimu kwa jina la atiaye pumzi ya uhai. Anayejua lication ya kilipo kiwanda cha Saphire Glass industry Mkuranga anielekeze. Nielekezen mtu toka mkoan kama nilivyo nachukua route ipi
  7. D

    Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  8. 'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

    Kwema! Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location matters provided other variable factors remain constant) ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ‘ˆ Hiyo ndiyo Business Law. Huwa nashangaa...
  9. Nipeni location nzuri ya kulala kwa Tarime Mjini

    Wakuu, habarini za Jioni humu ndani. Nipo njiani kulekea Tarime mjini naomba kupewa msaada wa hotel nzuri ya kupumzikia kwa budget ya Tsh.100,000/=kushuka chini yenye manthari mazuri ila kusiwe na bar humo ndani na palipotulia sana, now nipo maeneo ya nyumbani kwao na Kichele hapa. Kukiwa na...
  10. Jinsi ya kutafuta eneo (location) kwaajili ya biashara

    Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni WAZO. Ndiyo wazo lako linathamani gani..?? Ukishakuwa nawazo fikiria wazo hilo au biashara hiyo...
  11. Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu โ€œKuona location, sms & calls za mtu...
  12. Location ya UTU

    Wataalam wa Bongo music,hivi ile video ya Ali Kiba 'Utu' imerekodiwa wapi? Ile mandhari nimeipenda, anaejua aniambie please.
  13. Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  14. Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  15. INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  16. Tuma picha wakali wa Location wakwambie Hapo ni wapi

    Naanza mimi. Niambieni hapa ni wapi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
  17. Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  18. N

    Hii tabia ya wasanii wa filamu wa kiume kulialia nje ya location imetoka wapi?

    Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani.... Mi ninavyoelewa machozi...
  19. Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  20. SUBARU FORESTER S TURBO YEAR 2OO4 BEI MILION ..8 LOCATION MBEZ BEACH

    on sale Subaru forester turbo sf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ