location

In geography, location or place are used to denote a regions (point, line, or area) on the earth's surface or elsewhere. The term location generally implies a higher degree of certainty than place, the latter often indicating an entity with an ambiguous boundary, relying more on human or social attributes of place identity and sense of place than on geometry.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Tuma picha wakali wa Location wakwambie Hapo ni wapi

    Naanza mimi. Niambieni hapa ni wapi😃😃
  2. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wasanii wa filamu wa kiume kulialia nje ya location imetoka wapi?

    Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani.... Mi ninavyoelewa machozi...
  4. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  5. Junnie27

    JamiiForums Tanzania SUBARU FORESTER S TURBO YEAR 2OO4 BEI MILION ..8 LOCATION MBEZ BEACH

    on sale Subaru forester turbo sf
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania A polite question to President Samia: Do you know the location of Achilles' Heel in Magufuli's regime?

    The Statue of a limping Achilles trying to pull an arrow from his injured heel. Dear President Samia, after having assessed your performance for months now, I am about to make a rounded conclusion about your strengths, weaknesses, opportunities, and threats (SWOTs). However, before doing that...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Haya weekend ndio hiooo imeanza, tupe location

    Jumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama. Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location Upo wapi saivi Unafanya nini Tutamanishe vibe la hapo bila kusaha kapicha [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
  8. Tea Party

    JamiiForums Tanzania MBC DRAMIA: Sehemu ambayo Wakorea wanafanya maajabu yao

    Ukiwa unaangalia series za kikorea za kihistoria kama JUMONG, SIX FLYING DRAGONS, EMPRESS KI au MR SUNSHINE kuna zile location za zamani ambazo huwa zinatumika. Kuanzia kwenye jumba la kifalme (Palace), sokoni au kwenye makazi ya kawaida ya watu sehemu zote zinakuwa ni za kizamani kwenye enzi...
Back
Top Bottom