lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

    Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe. Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
  2. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

    Habari zenu wana JF wenzangu, Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango...
  4. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  6. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa kwenye jukwaa la mabanzi (Kichanja)

    Hapo sina mengi. Embu jaribuni kuangalia kwa makini picha hizo hapo chin. Wamemuwekea kichanja, badala ya jukwaa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  8. SONGOKA

    JamiiForums Tanzania Martin Luther King vs Malcom X, kisa cha Lissu na Mbowe

    Chadema kuna maigizo wanaendelea, na wakiendelea kuigiza kuwa hawaoni hili tatizo la msingi, natabiri kuwa kabla ya mwaka 2025 "CHADEMA ITAGAWANYIKA", .....stay with me Martin na Malcom: Kisa cha hawa Nguli wa haki za raia weusi ni funzo kuu la "ideological alignment" katika siasa, Martin...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

    Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya Polisi na Lissu ni nani wa kuwasaka waliotaka kumuua Lissu??

    Kwenye mambo ya kihalifu nchi nyingi zimelipa Jeshi la polisi wajibu wa kushughulika na uchunguzi pale uhalifu unapotokea. Kwa Tanzania Polisi kupitia kwa DCI ndiyo wamepewa kazi ya kupeleleza uhalifu unapotokea kupitia kitengo cha CID. Kwenye Jambo la Lissu ama kwa uzembe ama kwa kukusudia au...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu Kuhusu Muungano

    Watanganyika na zaidi wanachadema, Kwanini hamukubali uchambuzi na misimamo ya Viongozi wenu linapokuja suala la Muungano? Tumsikilize Tundu Lisu Kidogo === Sauti inayofafana na Lissu inayoongea kwenye audio hii imezungumza yafuatayo. Mgogoro wa Muungano ulipo ni kutokana na uhalali wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ona muujiza wa Lissu kwenye kupigwa risasi, tazama nerves na risasi zote lakini zilibaki intact!

    Sijui kama naeleweka. Angalia hiyo sciatic nerve kwenye picha hiyo ambayo ni sawa na mguu wa Lisu mimi na wewe. Mguu wote wa Lisu ulinyombuliwa na risasi, lakini nerve ilibaki intact ( na neves zingine). Hana tatizo la paralysis/dumbness of any body part/leg part due to nerve damage! (note huu...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

    Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao Nawasilisha
  17. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vyote vya habari vinatamani kuongea na Lissu; mbona tulimtuhumu kama msaliti?

    Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu. Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ahsante Tundu Lissu. Ulipozungumzia ugumu wa maisha (bei ya nyama na maharage) walikuelewa nao wanakuunga mkono Bungeni. Great

    Ulipozungumzia Nyama na Maharage wananchi walikuelewa Ila wanasiasa walikuelewa vizuri zaidi. Umebadili michango ya wabunge bungeni, Dr. Bashiru ameacha kebehi anajadili njaa; Gambo ameacha kujadili propaganda anajadili njaa. Naomba nikupongeze kwamba umebadili upepo; Mdogo wako Mwiguli...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

    Nawakumbusha tu asije akawatapeli, kwa sasa sio wakili kwenye mahakama zetu. Asije akawadanganya mkampa pesa akawapiga.
  20. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mna haki ya kumuona Lissu kama shujaa wenu, ila si kulazimisha kila mtu amuone ni shujaa

    Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana! Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa! Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na...
Back
Top Bottom