lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe nakupenda sana, nakuomba umuachie Tundu Lissu agombee tuiondoe CCM madarakani

    Kwa dhati ya moyo wangu napenda kukiri kuwa mimi ni admirer wako toka ukiwa Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania. Lakini kwa hali ya Siasa ilivyo nchini mwetu na kiu ya watanzania kuondokana na kivuli kizito kilichodumu kwa zaidi ya miaka 59 cha umasikini uliokithiri, ujinga, maradhi, ukiukwaji...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

    Kimbungaa kilianzia Kanda ya Pwani Kesho ndio kesho kimbunga kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA Mwanachama na Mwananchi tukutane Mbagala Zakheim Rangi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025

    Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio. Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA. Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

    Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa. Katika mazungumzo yake na viongozi wake wa ngazi za juu ameeleza kipaumbele chake kikubwa ni kuongeza...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndio kizazi alichotaka Mwalimu Nyerere

    Mwalimu JK nyerere katika hotu a zake akiwa rais aliwahi kukemea tabia ya vijana wa ndio mzee Aina ya Mataga. Mwalimu alitaka vijana wahoji why who when whose how which nk. Mwalimu hakutaka vijana aina ya Mataga kila kitu Ni ndioooo hata upumbavu. Nyerere alitaka vijana wahoji ndio hasa walewa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu watu wanaoruhusiwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wa Urais, Makamu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mujibu wa Sheria

  10. JamiiForums Tanzania Shahidi ashindwa kumleta Tundu Lissu Mahakamani Kisutu, Kesi yaahirishwa hadi tarehe 24 Septemba 2020

    Salaam Wanajamvi, Tundu Lissu ameshindwa kuhudhuria kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya uchochezi namba 236 ya mwaka 2017 na ile namba 123 ya mwaka 2017 kutokana kuchelewa kukamilisha taratibu za urejesheji fomu ya utuzi wa kugombea urais wa Tanzania. Leo tarehe 26 Agosti...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

    Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya Uchaguzi basi ni dhahiri Lissu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

    Asalam aleykum Tukiwa tunashuhudia mtanange wa vyama vya siasa katika mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa hapo badae October 28 ni vyema tukajadili kidogo Lissu anapata nguvu hii wapi na kutoka kwa nani. Sote nchini na nje ya nchi tumeshuhudia imani, mapenzi, mvuto na baraka alizonazo Tundu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, kabla ya kufuta Idara ya Maelezo, futa Idara ya Habari na Uenezi ya CHADEMA

    Kichwa cha habari chahusika. Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu. Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati. Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa. Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari. In short...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  16. JamiiForums Tanzania Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa kugombea kuwa Rais wa JMT 2020

    Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania. Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma...
  19. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

    25 August 2020 CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Octoba 28 2020. Mpaka kufikia jana options zote za kumkata Lissu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Antiphas Lissu ni yule yule wa juzi, wa jana na wa leo na katu hajabadilika na hatabadilika

    Hakuanza leo, alianza akiwa shule na aliendelea hivyo hivyo kabla ya kuwa Mbunge, aliendelea hivyo hivyo baada ya kuwa Mbunge na anaendelea hivyo hivyo baada ya kuporwa ubunge kwa hila. Hakuanza leo...alianza akiwa mzima wa afya, aliendelea hivyo akiuguza majeraha yaliyotokana na kumiminiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…