lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
  2. B

    Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

    Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu. Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa njia zilizo haramu. Tumebebeshwa kesi dhidi ya Lissu tusiyoielewa na tunaopaswa kuwashitaki kwa...
  3. S

    Kati ya Lissu aliesema "tutakinukisha" na wanaotuhumiwa kuingiilia mifumo ya uchaguzi kwa mujibu wa Polepole, nani anapaswa kushitakiwa kwa uhaini?

    Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta na hili swali hapa chini: Kama Lissu anashitakiwa kwa tuhuma za kusema atakinukisha kuvuruga...
  4. Kimbesa11

    Wanajifanya wanamtetea Lissu lakini ukiwauliza nyie mpo chama gani wanasema hawana chama wanaona aibu kujiita ni CHADEMA kwasabu wanajua maovu yao

    Mfuasi wa CHADEMA utakuta anatukana watu lakini ukijaribu kumuuliza upo chama gani anasema yeye Hana chama hii ni laana wanaishi kwa laana za kutukana watu ndo maana wanaona aibu hata kujiita chadema Ukosefu wa maadili wa wafuasi na viongoz wa CHADEMA ni mkubwa Sana nchini imefikia mahala...
  5. Mshana Jr

    Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Na Emily Mwakilembe Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
  6. 4

    Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa hapo juu. Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii. Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
  7. Kipenzi Changu

    Ulikuwa wapi ukamsikia Lissu akisema "watakinukisha" ukahamasika?!

    Nilikuwa kwenye tafrija ya harusi,kupitia hapa hapa Jamiiforums nikamsikia Tundu Lissu akisema watakinukisha nikahamasika sana. Kutokana na hiyo hamasa nikapakua vidali viwili vizuri kihamasa. Wewe ulihamasika ukiwa wapi?
  8. K

    Unajua waliopanga na waliompiga risasi Tundu Lissu wako wapi?Hata hawa wanaotaka anywongwe yatawakuta tu

    Ogopa sana mtu anayesimama na ukweli tena kwa ajili ya watu wake Mungu humpenda na Kumlinda Tundu Lissu anapigania haki juu ya Watanzania wote,anataka tuwapate Viongozi wa kweli watakaopatikana kwa kura za wananchi ambao watalinda rasilimali zetu siyo hawa wanaopita kwa rushwa na vimemo amabo...
  9. F

    Jinsi mashahidi watavyotoa ushahidi wao kesi ya Lissu

    Hebu tucheke kwanza! Hii kesi gani kama si aibu tupu? Mnataka kumshtaki Lissu kwa nia tena ya watu wengine eti walihamasika wakati hakuna kitendo chochote? Kuweni na aibu kidogo @judiciarytz hebu DISMISS this case urgently! Hakimu Kiswaga ulitaka livestream izimwe kwa sababu ulijua madudu haya...
  10. The Palm Beach

    Alute Lissu (kaka yake Lissu) afafanua kwa urefu mashahidi watakaoitwa kuthibitisha uhaini wa mdogo wake

    https://youtu.be/YBiutTrtOI8?si=LgCCf10nAs7I_Yse Mashahidi hao watatu ni: =============================================== "DEATH ROW DIARIES” Ni title ya maelezo ya SC Tundu Antiphas Mughwai Lissu ambayo atayatoa katika committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu...
  11. curie

    kwa hii Kesi ya mh Lissu nimeamua kuwa upande wa uhaini

    Sisi wanajamhuri tunamshitaki Lissu kwa uhaini ..Lakini kwa niliyo yasikia pale mahakamani jana ni aibu tupu.. Natangaza bora niwe upande wa uhaini . Jamhuri bakini na aibu yenu
  12. Allen Kilewella

    Kwa nini Sasa watu wengi wanatamani kuwa kama Lissu?

    Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria. Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu matendo ya Lissu mahakamani, ni ishara tosha kuwa Lissu anahusudiwa na watu wengi? Lakini...
  13. Ileje

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

    Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya...
  14. Huihui2

    Jaji Warioba aliwaonya akina Lissu kuhusu No Elections, wakampuuza

    Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
  15. DR HAYA LAND

    Tanzania imepata "Mbeba Maono " ambaye ni Lissu ila haijapata watembeza maono bado hawajapatikana

    KIROHO ili Familia isonge mbele , au nchi isonge mbele , huwa haitajiki MTU mwenye mali na fedha pekee Ila anahitajika mbeba maono. Ndo maana mmeona yule jamaa alikuwa na Mali hazina idadi , Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa na MAISHA. Issue huwa sio PESA wala dhahabu na mali Ila...
  16. masopakyindi

    Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  17. Just Pray

    GE2025 Mchinjita: Ulikuwa ukisikiliza upande wa Mbowe, ni kama Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali. Ameeleza kuwa moja ya mambo yaliyoumiza zaidi ni namna kundi la Mbowe...
  18. M

    Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  19. Idugunde

    Damu ya Tundu Lissu kuleta mabadiliko makubwa hapa Tanganyika

    Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30. Leo hii kuna mpango anyongwe ... Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
  20. Now and then

    Mimi ni miongoni wa watu ambao hatuna Amani moyoni yangia Lissu akamatwe naomba ikiwa unapitia hali kama yangu tuungane katika maombi ya pamoja

    Naomba TAL aachiwe haraka tupone mioyo yetu , kwakuwa hatulali tunawaza hatima ya Tanzania.
Back
Top Bottom