lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    GE2025 Lissu: Rais ana kinga ya kushtakiwa sio ya kuwa shahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa mpaka September 11, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuja kwa ajili kukamilisha kutoa mjumuisho baada ya Jamhuri kueleza hoja zao kuhusu mapingamizi yaliyowekwa. Ikumbukwe Lissu katika hoja zao anadai kwamba baadhi ya mashahidi wake ambao aliwataja...
  2. technically

    Hii ndio hotuba ya Tundu Lissu itakayoishi miaka 10,000 ijayo

  3. The Father of All

    Kumfunga, kumzushia, kumshitaki na kuzuia Lissu asigombee Samia anaogopa kilichowapata hawa?

    Joyce Banda (Malawi) kama Samia, aliangukia urais baada ya kufa rais naye akiwa makamu wake akatawazwa. Banda aligombea urais na kubwagwa na Profesa Peter Mutharika mdogo wake marehemu Bingu wa Mutharika mwaka 2014. Nchi ya jirani ya Zambia, Banda mwingine, yaani makamu wa rais Rupia Banda...
  4. Lord Denning

    GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
  5. Just Pray

    GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  6. Mto wa mbu

    Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  7. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  8. Heparin

    Godbless Lema aibukia Mahakama kuu kesi ya Lissu ikianza kuunguruma leo Septemba 8, 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
  9. M

    Tusisahau: Mateso, Kifo na Mateso ya Tundu Antipas Mughwai Lissu

    Habari za Wakati huu; Kwanza nianze kwa kusema tu kwamba kwa wale ambao jana walisahau basi jana ilikuwa ni Siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu.Kwa mujibu wa Taarifa za kihistoria Jana tarehe 7 ya mwezi wa Tisa ya mwaka 2017 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza Mbunge wa bunge la...
  10. Sales man

    Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  11. F

    Nataka nijue kama muda alokaa Lissu jela umeshafikia ule aliokaa Mbowe halafu nitasema kitu

    Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
  12. Mi mi

    Mbowe ni mlamba asali Lissu ni mwanaharakati unaweza umia kipuuzi na usifanikiwe kwa lolote

    Kama Mbowe ni mlamba asali na Lissu ni mwanaharakati wa haki kama anavyoitwa na wafuasi wake waliokuwa wafuasi wa Mbowe hapo awali kwa hali ya Tanzania na watanzania mbowe katumia akili lissu akiendelea na harakati hisia zitakuwa zimezidi akili. Kwa Watanzania ni bora siasa za ulamba asali za...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  14. M

    I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  15. baz kaiza

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu True Definition ya Kufa Umesimama kuliko kufa umepiga Magoti

    Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
  16. G

    Lema, Lissu na Heche waliamua kumtoa kiongozi mnafiki ambaye aliwauza wenzake kwa miaka mingi

    Kiongozi Yule mnafiki. Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikuwa anajifanya mwanademokrasia lakini alikuwa mtu hatari. Kupitia taarifa alizokuwa anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.
  17. The Palm Beach

    Ezekiel Kamwaga: Samia Suluhu anampenda sana Tundu Lissu

    Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na kuheshimu matendo mema ya baadhi ya viongozi na wananchi wenzao. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Hamjielewi kabisa. Badala ya kushinikiza serikali imwachie Lissu mtetezi wa kweli nyie mko busy kusikiliza hotuba za Polepole

    Ahahaha 🤣 🤣 🤣 Hii nchi ina wajinga wengi kweli. Tangu tupate uhuru honestly mtetezi wa kweli asiye na chembe chembe za utapeli, uoga, rushwa na asiye muoga ni Lissu. Watu wamemweka ndani kwa sababu za kipuuzi. Sasa wapinzani mngekuwa mna akili timamu na moyo wa kupenda Taifa lenu...
  19. Jidu La Mabambasi

    Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

    Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo. Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
  20. Sales man

    Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
Back
Top Bottom