lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Lissu anabidi kupewa jina la Yusufu kwakuwa huyu Lissu ndo mbeba maono wa Tanzania Mpya

    Lissu ndo Mbeba maono wa Tanganyika . Kwahiyo tuendelee kumuombea bila kuchoka na nimempatia Jina la Yusufu.
  2. BigTall

    Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu. Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa...
  3. econonist

    CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  4. Fanfa

    Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
  5. W

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  6. B

    Lissu ana haja ipi ya kushirikiana na mahakama?

    Labda tuelimishane hapa. Ya nini kushirikiana na mahakama Hadi hapa tulipo? Looh! .
  7. E

    Hakimu ana njama na Serikali kwenye kesi ya Lissu?

    Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
  8. M

    Tundu Lissu, sauti ya ukombozi wa kweli wa Nchi hii

    Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani. Utumwa huo...
  9. Kimbesa11

    Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  10. Raia Fulani

    Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

    Habari za Jumapili. Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani kumuachia Yesu ila nguvu ya watesi (wahuni) ikawa kubwa. Na kuachiwa kwake kutakuwa ni jambo la kihistoria...
  11. Mwande na Mndewa

    Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

    Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!? Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo...
  12. RUKUKU BOY

    GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  13. Knock life

    Kiukweli mimi kama Mshauri wa Lissu najua anaenda kuwa huru muda mfupi ujao ila nakuomba chochonde achana na habari za kumpambania watu wajinga

    Lissu achana na kuwapambania Wabantu waswahili . Hawa watu watakuchosha bure waache wawndelelee kunyonywa na waendelee kutumikia Simba na Yanga na kuibua misemo ya kijinga Kama Sasamba .
  14. mwehu ndama

    Muonyesheni Mh.Tundu Lissu mtiririko wa hizi video za Watanzania anaowapambania

    Kama nilivyokwisha kumsihi Mh.Tundu LISSU humu jukwaani, na kumtaka aiponye nafsi yake , kwani kundi la waTanzania masikini analotaka kulisaidia halina habari na Wala halijielewi. Hizi ni baadhi ya video ambazo zina akisi uhalisia wa maisha ya Kila siku ya Watanzania masikini. Ninaposema...
  15. Ex Spy

    Rostam Aziz ni mwanahisa mkubwa katika Kampuni iliyotajwa na Tundu Lissu kabla hajakamatwa!

    The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest. In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
  16. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  17. Idugunde

    Ijengwe minara minne yenye sanamu ya Tundu Lissu ili iwe kumbukumbu ya shujaa aliyepigania mabadiliko yenye manufaa kwa taifa lake

    Minara hii iwekwe kwenye bustani za kitaifa. Huko Mwanza, Dodoma, Dar na Arusha. Anachopigania Lissu sio kwa ajili ya tumbo lake ni kwa manufaa ya taifa zima la Tanganyika
  18. R

    GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura), Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika? Kwa ufupi...
Back
Top Bottom