lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni lini wanamuziki wetu watafikia kiwango hiki cha Shakira?

    Akihojiwa kwenye kipindi cha Fallon tonight, mwanamuziki Shakira amesema huwa anasafiri na vifaa vya kuwezesha matamasha yake vyenye uzito wa tani 90 na idadi ya watu wasiopungua 145 kufanikisha matamasha hayo! Nimewaza ni lini na sisi tutapata mwanamuziki mwenye uwezo wa kuhimili matamasha...
  2. Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  3. Lini Bunge letu litavunjwa

    Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
  4. UJUE MWISHO WA KUSUBIRI.

    --- ## Lini Mwisho wa Kusubiri Jambo Kwenye Maisha? Hii ni swali zito na la kifalsafa, na jibu lake mara nyingi hutegemea mtazamo wa mtu na hali halisi anayopitia. Hakuna "mwisho" mmoja maalum wa kusubiri katika maisha kwa sababu maisha yenyewe ni mchakato endelevu wa matarajio, malengo, na...
  5. Tunaotesa wenza wetu kwenye mahusiano Mungu anatuona, tukatubu!

    Ugonile, kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!! Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
  6. Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  7. Nitakufaje? Na lini? Wapi? Nikifanya nini?

    Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu...
  8. NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

    Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ? Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
  9. Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  10. Wafugaji: Jua Chakula cha Kuku Kitatosha Mpaka Lini Na Zuia Wizi wa Chakula Kwa Uhakika (Bila Kubahatisha!)

    Sasa unaweza kujua chakula cha kuku kitakutosha kwa muda gani bila kubahatisha. Feed Tracker hukusaidia kufuatilia matumizi ya chakula kila siku kulingana na idadi na aina ya kuku. ✅ Hakuna tena kukosa chakula ghafla ✅ Panga ununuzi mapema ✅ Punguza upotevu na gharama ✅ Kuku wako wawe na afya...
  11. Michele unaanza kushuka lini?

    Habari, Bei ya Michele ipoke uko kyela ,mbalali,morogoro ,Michele unaanza kushuka Bei lini
  12. Kama rais "anapeleka" fedha nchi nzima, Serikali itapeleka lini na kwanini Rais na siyo Serikali?

    Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali. Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi? Je...
  13. Lile basi la Simba Marcopolo G8 linafika lini? Au ndio kawaida ya ahadi hewa?

    Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi? Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao. Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
  14. T

    Foleni ya Kibaha Chalinze itaisha lini?

    Huwa nasikia awamu hii imefanya mambo makubwa. Kuna hii barabara inayounganisha bandari ya Dar na mikoa karibu yote nchini, lkn pia nchi jirani zinazotumia bandari yetu. Cha ajabu ni kwamba barabara ya Kibaha Chalinze bado ni nyembamba sana hivyo kusababisha foleni kila siku. Sasa hivi...
  15. D

    Na sisi wa Roman Catholic tunafungiwa lini tuanze kujiandaa!?

    Hii serikali ya inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja. Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili tuhamie kwa mwamposa kama mnavyotaka.
  16. Wanafungaje NIDA yako eti usipojiandikisha? Tokea lini haya mambo yakaingiliana? Mwenye taarifa zaidi atujuze!

    Mwe taarifa tunaomba.
  17. Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  18. Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda

    Wadau ivi tra oral wanayatoa lini au ndo kula kwenda
  19. Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  20. K

    Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…