ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

    Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022. Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

    Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

    Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya kufungwa – 4 ● Assists – 21 ● Cleansheets – 13 Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC haijatoa mchezaji bora wa ligi tokea msimu uanze mpaka sasa

    Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

    Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Source: Bodi ya Ligi
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu. Sasa...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

    Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum saido ntibazonkiza fiston mayele jesus moloko. SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
  11. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu

    Refa aliyeinyima bao Yanga aondolewa kwenye Ligi Kuu
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hii vita ya ubingwa wa Yanga na Simba, hivi TAKUKURU hamsikii kelele za waamuzi kupozwa ligi kuu?

    Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia. Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali. Mtaani...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania TFF na ubovu wa ligi yetu

    Wakuu mimi ni Yanga kindakindaki na hakuna ambae hajui humu.Huwa naumia sana timu ndogo inapokandamizwa pindi zikutanapo na either Yanga yangu au Simba (Mbembwaji mkuu).Tangu msimu uliopita haya madudu ya marefa yalikuwepo na sasa yanaendelea (yaan karia anasema kazi iendelee).Yafuatayo ni...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa GSM kudhamini ligi TFF wajitafakari

    Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA. Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila upendeleo na bila woga. TFF Ina mapungufu makubwa sana ya kufanya fairness kwa timu zake dhidi ya timu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA ongezeni idadi ya Camera mnazotumia kunasa matukio ya mechi katika ligi kuu ya NBC

    Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima. Wito wangu kwa wamiliki wa Azam media ni kuwa ongezeni idadi ya Camera katika production team yenu ili muweze kunasa matukio takribani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ligi hii imeshaharibika na hakuna Mdhamini kutoka ndani ataekubalika kwasababu ya "Usimba" na "Uyanga"

    Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana). Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo. Kuna...
Back
Top Bottom