Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

JamesMd

Member
May 2, 2023
81
146
Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football.

TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
 
Ligi bado haina ushindani. Ukiangalia msimamo ulivyo utaona hilo. Hili la timu kumaliza ligi haijafungwa au imepoteza mechi moja tu linatakiwa kuwa jambo linalotokea mara moja moja sana.

Ningependa kuona ligi yetu timu inayochukua ubingwa iwe imefungwa wastani wa mechi 4 au 5.
 
Back
Top Bottom