ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania AFCON imethibitisha ligi yetu siyo bora kama tunavyoikuza

    Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine? Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani atavutia timu toka mataifa mengine na kutaka kumsajili?
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC tafuteni Uwanja kwa Mechi zenu za Ligi na FA, New Amani Complex kiwe tu kwa Mechi zenu za CAFCL

    GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
  3. JamiiForums Tanzania Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

    Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7. 1. Moroccan Botola Pro 2. Egyptian Premier League 3. Algerian Ligue 1 4. South African PSL 5. Tunisian Ligue 1 6. DR Congo’s Linafoot 7. Tanzanian Premier League 8. Angola’s Girabola 9...
  4. JamiiForums Tanzania Pacome Zouzoua alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast 2023 ila waziri hamjui

    Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general. Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo. Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa MLS na Saudi Ligi waisha

    Saudi inashika nafasi ya 33 ya ubora wa ligi huku MLS ikishika nafasi ya 63. Kwa kifupi Mshindani wa MLS ni Ligi ya Bongo mana wamepishana na kwa nafasi moja tu. IFFHS
  6. JamiiForums Tanzania Taifa stars rudini haraka AFCON tuendelee na ligi yetu

    Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa clear chances nyingi sana akiwa yeye na golikipa. Kazi kwisha huko, rudini haraka tuendelee na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Ulaya mbioni kuikimbia ligi ya Saudi Arabia

    NDOTO ya kulipwa mishahara mikubwa na kwenda kuanza maisha kwenye ligi mpya ya Saudi Pro League imegeuka kuwa majanga kwa baadhi ya wanasoka duniani na sasa wanatafuta njia ya kurudi Ulaya. Kundi kubwa la mastaa wa maana kwenye mchezo wa soka lilihamia huko Mashariki ya Kati katika dirisha la...
  8. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Saudi Pro League is more competitive than Ligue 1

    [emoji599] Cristiano Ronaldo: “𝐒𝐚𝐮𝐝𝐢 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐢𝐬 𝐛𝐞𝐭𝐭𝐞𝐫 𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐋𝐢𝐠𝐮𝐞𝟏 already now, I’m sure of that" [emoji1210] ◉ “Saudi Pro League is more competitive than Ligue1, I can say that after one year spent there and I’m sure”. ◉ “We are better than French league already now”. ◉ “I feel so happy at Al...
  9. JamiiForums Tanzania Takwimu za Nabi kwenye ligi ya Botola Pro akiwa na AS FAR Rabat

    Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco. Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi. Amecheza mechi 15 Ana Alama 33 Magoli ya kufunga 33 Magoli ya kufungwa 13 Yupo juu ya Msimamo (Kileleni) Nabi anaupiga...
  10. JamiiForums Tanzania Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Habari ndio kama mlivyosikia .
  12. JamiiForums Tanzania Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli Ligi yetu ni dhaifu, Club zetu zinatamba nyumbani ila nje ni aibu

    Club zetu unaziona zinvyotamba kwenye ligi ya ndani, ukiwaona wachezaji wao wanavyoumiliki na kuuchezea mpira watakavyo utasema hii ni bonge la timu , hata wasemaji na mashabiki wao utawasikia wakisema Madrid hapa anapasuka, aje Man City hapa anakaa, lakini zikivuka mipaka tena hapa hapa ndani...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  16. JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga yazindua jezi zake kuelekea Ligi ya Mabingwa Africa, ni kali sana

    Dakika chache zilizopita Yanga wamezindua jezi zake kwa ajili ya klabu bingwa africa. Ni jezi nzuri mwananchi usipange kuzikosa. Nashindwa kupandisha picha hapa ila jezi ni kali, Sheria Ngowi apewe maua yake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…