ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  2. JamiiForums Tanzania Je, unadhani kwanini jana Mamelodi Sundowns FC katika Mechi yao ya Ligi Kuu wamechezesha Wacheaji Chaguo la Pili tu?

    Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0. Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa. Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  8. JamiiForums Tanzania Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Machi 10, 2024 Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] KUMB: Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC Mpendwa Mheshimiwa/Bibi, Tunakuandikia kukuletea jambo linalotia wasiwasi mkubwa kuhusu uadilifu na usawa wa Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania. Kama wadau na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

    Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo. Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Al Ahly na umahiri wao wana viporo saba, ni mbinu za kuisaidia kimataifa?

    Ni tofauti na kwetu ukiwa na viporo ukimaliza ratiba ya kimataifa unapangiwa mechi 4 mfululizo kila baada ya siku mbili
  11. JamiiForums Tanzania Je, hizi goli Tano Tano za Yanga ✋ Zina reflect vipi ligi yetu?

    Baada ya kuona dozi nzito zinatolewa na wananchi ...de Yanga Kwa timu pinzani nimeona nifanye research kidogo Kwa kuwashirikisha ndugu zangu humu Tujikumbushe...hizi ndizo baadhi ya timu zilizochezea ✋ Kwa Yanga Simba Kmc Ihefu Je unadhani hivi vichapo vinaashiria Nini kwenye ligi yetu?? Hizi...
  12. JamiiForums Tanzania Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4 The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024. The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

    ....
  14. JamiiForums Tanzania Msimu huu kombe la ligi kuu na tuzo zake hampati hata moja

    Bingwa. Yanga Kocha bora. Gamondi Kipa bora. Diarra Beki bora. Yao Kiungo bora. atatoka Yanga MVP . atatoka Yanga Simba sijui mtapata nini msimu huu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu za zamani uliruhusu timu ambayo sio Bingwa wa Ligi kushiriki Kombe la Club Bingwa?

    Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe. Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
  16. JamiiForums Tanzania Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

    Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita /...
  17. JamiiForums Tanzania Takwimu za Ligi Kuu ya England “Premier League” hadi Februari 12, 2024

    Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024. Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi uwanjani ni Manchester United 3-0 West Ham United (73,612), iliyoshuhudiwa na mashabiki wachache zaidi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TFF mpo mpo tu mnazunguka kwenye viti, huu uwanja wa Tabora haufai kuchezea ligi

    Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga. Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
  19. JamiiForums Tanzania Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  20. JamiiForums Tanzania Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…