Latvian Human Rights Committee (Latvian: Latvijas Cilvēktiesību komiteja, Russian: Латвийский комитет по правам человека) is a human rights non-governmental organization in Latvia. It is member of international human rights and anti-racism NGOs FIDH, AEDH. Co-chairpersons of LHRC are Vladimirs Buzajevs and Natalija Jolkina. According to the authors of the study "Ethnopolitics in Latvia", former CBSS Commissioner on Democratic Institutions and Human Rights Ole Espersen "had visited LHRC various times and had used mostly the data of that organisation in his views on Latvia".
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo waliporipoti katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, ofisi ya ZCO, kama walivyoelekezwa kufanya...
TAARIFA KWA UMΜΑ
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025.
Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
TAARIFA KWA UMMA
WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA
15 Agosti 2025, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani kitendo cha utekaji, utesaji na kutelekezwa kwa raia wa Kenya, Bw. Mwabili Mwagodi.
Tukio hili linatishia misingi ya haki, amani, na utawala wa sheria katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, LHRC inataka uchunguzi huru na wa wazi, na hatua kali...
Wakuu
=====
Ni kweli LHRC imelaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani? mwenye ukweli wa taarifa atupe ukweli.
Kituo cha haki za binadamu LHRC kutoa msaada wa dhamana kwa watanzania wasio na hatia kunyimwa haki yao ya kuabudu kunachafua taswira zaidi ya nchi.
Ni wazi kuzuiwa kwa mamia ya watanzania kufanya ibada bila kosa kwa sababu za kisiasa ni kosa kubwa sana ni kama mamlaka iliyopo madarakani...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanikiwa kusaidia dhamana ya waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Juni 2025 katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam
Soma Pia: Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGIWA KWA MTANDAO WA X (ZAMANI TWITTER)
Dar es Salaam, 4 Juni 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitiswa na kinalaani vikali uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuzuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter)...
CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI
Dar es Salaam, 02 Mei 2025
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI
Dar es Salaam, 24, Aprili 2025
Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Utaratibu wa ukamatwaji wa makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. John Heche ni uvunjifu wa haki zabinadamu
Kituo cha sheria na haki za binadamu tumeona katika vyombo vya Habari suala linaendelea huko Kariakoo kiongozi wa CHADEMA ambaye ni Makamu Mwenyekiti John Heche tumeona namna ambavyo...
https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv
Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.
Wakili msomi Maduhu...
Dar es Salaam, 02 Aprili 2025.
Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.