leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  2. JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Aina za Taarifa Unazotakiwa Kuwa nazo Wakati wa Kuomba leseni Kundi A

    Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za Directors Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa 50,000 kwa miaka miwili

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao. Kauli hiyo imetolewa tarehe 18 Machi, 2025 jijini Dar es Salaam na Mjumbe wa Bodi hiyo, Mgaya Kingoba, wakati akijibu maswali wakati wa mahojiano...
  5. JamiiForums Tanzania Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe (Geita), Wazawa waitwa kuchangamkia fursa

    ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi Jeremiah Hango...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kitambulisho cha taifa Tanazania kwa USA ni sawa na leseni ya udereva wakati leseni ya kwao imebeba mambo mengi kuliko sisi

    Leseni ya USA ni kitambulisho cha hapa Tanzania kwa jina ID card kuwa wewe ni Mtanzania. Upande wa wenzetu waliona nini kwao ili.Wajuzi tuelewesheni
  8. JamiiForums Tanzania Pharmacist mwenye leseni anahitajika kusimamia Phamarcy

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  9. JamiiForums Tanzania Pharmacist mwenye leseni ahitajika

    Anahitajika Bachelor Pharmacist mwenye leseni kusimamia Phamarcy Location: Dar es Salaam NOTE : SIO LAZIMA YEYE KUWEPO PHYSICALLY SALARY: NJOO NA DAU LAKO Mawasiliano: 0767810030
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
  11. JamiiForums Tanzania TFF anzisheni Leseni ya uchambuzi WA soka.

    Kwa Hali ilivyo Sasa, Mtu anatoka baa anapitia studio anahojiwa eti ni Mchambuzi wa soka inafubaza ubora WA soka la Tanzania. Kama mawakala wa Wachezaji Wana Leseni na wanafanya mitihani kabla ya kuzipata iweje kuchambua soka ambako kunahitaji utaalamu zaidi iwe holela? Mtu aliyefeli kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo mpya wa kurenew leseni ya udereva TRA ni sumbufu

    Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
  13. JamiiForums Tanzania Award verification number na computer programming classes

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  14. JamiiForums Tanzania Naibu waziri mipango na uwekezaji: Makampuni ya mikopo wanaotoza riba kubwa kunyang'anywa leseni

    Makampuni yanayojihusisha na mikopo umiza yameonywa kuacha tabia ya kutoa mikopo bila kufata utaratibu na kuishia kuumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa. Naibu waziri wa nchi ofisi ya raisi mipango na uwekezaji Stanslaus Nyongo ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi za hazina ndogo...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
  16. JamiiForums Tanzania Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC): Wahitimu wanaosubiri Leseni wawe watulivu, tupo kwenye mchakato

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwasilisha hoja akilitaka Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC) kuwasaidia wahitimu kwa kuwapatia Leseni mapema kwa kuwa wanapitwa na fursa nyingi Mtaani, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo. Kusoma hoja ya awali, bofya hapa ~ Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC)...
  17. JamiiForums Tanzania LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  18. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa leseni za Magari ya Barabarani

    Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba majibu yenu hapa kwanza Swali namba 1: Leseni ya kuendesha pikipiki zipo makundi kuna Class A, A1, A2...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya driving gari ndogo (sio class C) na nime-renew tangu 1990, leo hii nakataliwa ku-renew eti sina cheti!

    Hii nchi sasa imefikia kuwa na watawala wa kipumbavu sana. Nimekuwa na leseni ya kuendesha gari kwa miaka 34, na siku zote nimekuwa niki-renew bila tatizo. Leo hii nataka ku-renew TRA wananiambia mambo ya cheti cha udereva, shule sijui, nenda polisi na utumbo mwingi wa kuku kibudu. Hivi hawa...
  20. JamiiForums Tanzania Maelezo ya kupata leseni Baraza la Madaktari (MCT)

    Wakuu samahani. Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)? Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response ukiuliza wao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…