leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi B?

    Migahawa, hoteli za kawaida, wakala wa bima, vyama vya ushirika, usajili wa abiria, viwanda vidogo, udalali, na biashara za jumla/rejareja.
  4. JamiiForums Tanzania Biashara gani zinahitaji leseni ya kundi A?

    Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
  5. JamiiForums Tanzania Ni nyaraka gani zinahitajika kuomba leseni?

    Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf. TCRA, TBS, EWURA, TMDA, n.k.)
  6. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara na Kupata Leseni ya Saloon ya Kiume

    Masharti ya Mwombaji Ili kupewa leseni ya saloon ya kiume, unatakiwa: Uwe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi. Usiwe na rekodi ya makosa ya jinai. Uwe na eneo lililoidhinishwa kisheria na linalokidhi viwango vya usafi na afya. Uwe na mkataba wa pango iwapo fremu ya biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Butcher (Kuuza Nyama)

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na leseni ya biashara. Kwa butcher, leseni hii ni sharti ili kutambulika rasmi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara

    Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo. Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today; 1. Kwenye halmashauri Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni. Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Urasimu wa kutoa vyeti vya Madereva wanaohuisha leseni zao

    Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni. Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hautapewa leseni ya biashara kama Hauna Hizi Taarifa

    Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara. Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara; 1. Aina ya Biashara, Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu 2. Wilaya/halmashauri Ni lazima useme ni...
  12. JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa leseni sasa hivi mpaka upeleke cheti kipitishwe hasa class D?

    Maana kuna mdau amesema yeye kapeleka cheti sehemu usika ajabainisha ni polisi au tra lakini sasa iyo ipoje naona kama ni hivyo utakua utaratibu mpya ama wajuzi tujuzane kunitoa kwenye sinto fahamu
  13. JamiiForums Tanzania Leseni kwa walevi

    Habari ! Naomba kuuliza, Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela? Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Watu watakunywa pombe kwa Leseni

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya wananchi wa Zanzibar kuwa Rais watu wanaotaka kunywa pombe watatakiwa kuwa na leseni ili kujenga nidhamu kwa Wazanzibar na kwa yule atakayekiuka...
  15. JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  16. JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  17. JamiiForums Tanzania Mtu anisaidie kupata Leseni ya Udereve nitamlipa

    Habari ndugu zangu. Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
  18. JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara

    Maswali na majibu kuhusu Leseni ya biashara 1. Leseni ya biashara ni nini? Leseni ya biashara ni kibali cha kufanya biashara kinachotolewa na mamlaka husika kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake. 2. Ni makundi gani ya leseni ya biashara yapo? Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata leseni ya Uuzaji Bidhaa Jumla na Rejareja (Wholesale & Retail Trade)

    1. Pata TIN Number kutoka TRA Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unayo Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hii ndiyo nyaraka ya msingi inayothibitisha kuwa wewe ni mlipa kodi halali. Bila TIN, huwezi kuendelea na mchakato wa maombi ya leseni ya biashara...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Songwe awataka wachimbaji wadogo kuwa na leseni

    Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…