lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

    Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
  2. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mwenezi Ada Tadea Taifa amvaa Lema amtaka aache maneno. Wapinzani tujipange Uchaguzi ujao 2029

    25 October 2024 Zuberi Mwinyi Katibu Mwenezi taifa wa ADA TADEA " Wapinzani Hatukujiandaa kwa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024, Tusiilaimu CCM https://m.youtube.com/watch?v=WKMTl38WQd8 Zuberi Mwinyi anaongeza kuwa vyama vya upinzani vyote Tanzania hatuna mawakala, hatuna wanachama wa kukifadhili...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Makonda effect: Nani alishiriki mkutano huu wa Lema juzi?

    Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival. Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi. Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

    Uandikishaji kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa umeanza rasmi leo, tarehe 11 Oktoba, 2024, na utaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Hatua hii inampa fursa kila Mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Godbless Lema: Kanuni za Uchaguzi 2024 ni za Kihuni, Hatuwezi Kususa, Kamati Kuu Imeazimia Kupambana na Kushinda Uchaguzi

    Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Lema Ndani ya Ndege Kwa Ufunua Ubinafsi Wa Watanzania.

    Ndugu Watanzania! Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea ukamataji wa aina ile zaidi ya utekaji. Akiwa katika Maria Space, Lema ameeleza jinsi alivyochukuliwa...
  8. radika

    JamiiForums Tanzania Yaliyomtokea Mzee Kibao yamtokea Lema

    Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa halafu kuna wapumbavu uwa wanasema kudai HAKI ni sababu hatujaelemika, Walio kuwa kwenye ndege na Lema akiwemo...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

    Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa. Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1. Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege. ====== Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Video: Lema ampa somo Rais Samia kufuatia hotuba yake

    Msikilize hapa: https://www.youtube.com/watch?v=HdbNNTiNp_Q&pp=ygUNZ29kYmxlc3MgbGVtYQ%3D%3D
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Wanaoshombokea maandamano Lissu, Lema, Mbowe wanamakazi nje ya nchi; wanapakwenda; wewe je

    JK aliwahi kutuasa- akili za kuambiwa changanya na za kwako
  13. Tarishi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana PHD ngapi mpaka awe mjuvi wa kila jambo duniani?

    Hivi majuzi nimesoma post ya mtu anayeitwa Julius Mtatiro (siku indie Mhe DC ama majina yamefanana) amepost hio post huku pembeni yupo Godbless Lema Mbunge Mstaafu wa Arusha. Baada ya kuisoma post hiyo nikajipa assignment kufuatilia platforms zote za Mbunge Mstaafu wa Arusha, nikajikuta nastuka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

    Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni kama vile wazungu waliokinunua wanajifanyia tu mambo yao. Kuna Kalambo falls. Lema kaongea point. Hii...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ang'ara tena, Utabiri wake waendelea kuthibitishwa

    Hakuna haja ya maneno mengi
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

    Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godless Lema kumfuata mchungaji Msigwa alipo

    Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho. Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless...
Back
Top Bottom