lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema sasa umaarufu unampa kiburi cha kutukana watumishi na kudhihaki jina la Yesu

    Kuna watu wanapata umaarufu sana na mwisho wanapata kiburi cha uzima na kuanza kutukana watumishi na hata kumkufuru Mungu. Katika ukurasa wake wa X(Twitter) Godbless Lema kaandika, "Baba Askofu (picha ya Askofu Malasusa) Bwana Yesu asifiwe sana. Pole na kazi ya Mungu. Huku Arusha tunaendelea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

    Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni kama vile wazungu waliokinunua wanajifanyia tu mambo yao. Kuna Kalambo falls. Lema kaongea point. Hii...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ang'ara tena, Utabiri wake waendelea kuthibitishwa

    Hakuna haja ya maneno mengi
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa namuunga mkono Godbless Lema katika hili alilosema.

    Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote. Ukitoa kazi ya bodaboda ni ngumu sana MDUDU kufanya kazi nyingine. Bahati mbaya wengi wao wanakufa mno...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Godless Lema kumfuata mchungaji Msigwa alipo

    Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho. Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Lema wanaunguruma muda huu Kabuku, Tanga

    https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

    Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lema kutimkia CCM

    Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Lema aelimisha wananchi sababu ya mwarabu kanunua bandari

    https://www.youtube.com/watch?v=9of5FD2D9xw Nimebubujikwa na machozi.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Godbess Lema huwa anakuwa na ushahidi wa anachozungumza au kuandika?

    Mambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli?
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  14. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Video clip ya Lema anamaanisha nini?

    Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini Lema haijishughulishi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Salaam, Shalom!! Ni muda sasa tangu RC wa Arusha aingie kwa mbwembwe kama kawaida yake katika maeneo mengi aliyokwenda baada ya kuteuliwa kuongoza, Umati mkubwa wa watu waliokusanyika kumpokea na kuhudhuria utatuzi wa case za wananchi hadharani ambao haujawahi kufikia mwisho, Bado haukumstua...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ajiangalie

    Nabii Mkuu, Kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia Makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha Bila shaka munakumbuka kuwa hapo Arusha aliwahi kudaiwa kuwa ni tapeli wa Magari, kwa Makonda alivyo na chuki na...
  17. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ni mzushi

    Nimeona kwenye mtandao wa X Lema amepost kitu ameita " sielewi kabisa" . Uchonganishi aliopost huu hapa https://twitter.com/godbless_lema/status/1788569776366723518/photo/1
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

    Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni...
Back
Top Bottom