lema

Anthony David Lema (February 25, 1934 – July 24, 1966) was an American professional golfer who rose to fame in the mid-1960s and won a major title, the 1964 Open Championship at the Old Course at St Andrews in Scotland. He died two years later at age 32 in an aircraft accident near Chicago.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuambatana na Kitenge kwenye jogging siyo dalili njema kisiasa; hata DP world ilianza kama ubuyu

    DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia. Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakiwa Canada Wenje alikuwa mzubaifu kuliko Lema

    Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na maisha yake yakaenda vizuri. Aliendelea na harakati. Wenje hakufanya lolote yaani alikuwa kama mtu...
  3. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Nidhamu iwafute uanachama Lissu, Heche & Lema kwa kumdhalilisha Mwenyekiti

    Hawa watu wamemdhalilisha Mwenyekiti hadharani. Wafutwe uanachama mapema Sana kabla haijamgharimu Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Wajumbe wenyewe hawasomeki mpaka sasa
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Naanda mashtaka ya kumtimua Mh Lema Chamani.

    Heshima kwenu Wanajamvi, Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha. Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama. Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Lema anajisahau, hana mamlaka yoyote kwenye chama

    https://youtu.be/zlrjJf07blo?si=CIzhNJ1iOaJWch7D Sikiliza kwa umakini. Mod unaweza ukaandika maelezo zaidi Anasema LEMA anaweza kufukuzwa uanachama na tawi lake tu kwa sababu hana cheo chochote
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kunani Mbowe hakemei kabisa Rushwa katika kampeni zake?

    Mimi toka nianze kumsikiliza Mbowe katika kampeni zake sijawahi kumsikia akikemea rushwa. Hii inatupa picha gani ndugu wadau?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

    Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake. Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wenje na Lema karibia watatutegulia Kitendawili cha Washirika wa Shambulio la Tundu Lisu!

    Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mwanasiasa mwenye uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka na kila mtu nchini

    Tundu Lissu anaongea kama mgonjwa wa malaria iliyopanda kichwani,au kuku aliyekatwa shingo nussu na kuachiwa Mbowe anaongea kama padri kanisani au sheikh msikitini,haeleweki. Mbowe hawezi kushinda tena. Na akishindwa asitafute mchawi,bali Lena ndio mchawi wake Lema kaitisha press moja tu...
  11. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kwani Press ya Lema ilikuwa danganya toto?

    Nyie kumbe watu ni wajanja sana mjue. Sema tu nyie bado hamjastukia dili. Zile mbwembwe zote za Lema kuita press na kuongea mambo kibao ya kumkandia Mbowe na kumuunga mkono Lissu kumbe ni sound tu? Duuuuuuh! Kumbe bwana Lema kisirisiri anampambania Mbowe ili ashinde? Kaaaaaaaaaa! Eti wenyewe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Inawezekana akina Lema, Lisu na Msigwa ndio walikuwa na mpango wa."kumpindua" Mbowe

    Lema anasema Mbowe alitaka kuwafukuza. All is possible, vile vile inawezekana hao trio ndio walikuwa na mpango wa kumpindua Mbowe. Leo Lema anasema Mbowe alikuwa na mpango wa kuwafukuza akina Lema, Lisu, Msigwa. Fine Lema toa ushahidi.
  13. comte

    JamiiForums Tanzania LEMA: Baadhi ya wabunge kati ya 19 ni wake wa viongozi wakuu wa CHADEMA

    “Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shairi la kuwaaga Lissu, Heche na Lema CHADEMA

    Walikuwa mashujaa, sauti za upinzani, Heche, Lissu, na Lema, majina ya matumaini, Walilia haki, wakapigania usawa, Leo wameondoka, mioyo imejaa maswali na uchungu wa ndani. Ni uchaguzi wa ndani, si vita vya umoja, Lakini kilichobaki ni majeraha ya mioyo, Je, ni hasira ya kushindwa au dhoruba ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Niliambiwa na Boniface Jacob (Boni Yai) kuwa Wenje ni Project ya serikali

    Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua fomu ya umakamu mwenyenyekiti alijaribu kumconsult Wenje kuhusu jambo hilo na kumshauri asitishe...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mh Lema, huamini kuwa Lissu aweza mshinda Mbowe katika uchaguzi Hadi umuombee aachiwe na Mbowe?

    Hellow!! Ndugu Lema ni muumini wa DEMOKRASIA, sasa HOFU inatoka wapi ikiwa wanachadema wanataka mabadiliko ya Kweli? Si vyema kuruhusu bundi aingilie madirishani! Karibuni 🙏
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

    Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki. Nashauri chama kimzuie asilete taharuki. Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
  18. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

    ==== Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji , Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lissu na Lema hadi leo wamefichwa Ulaya!

    Hata baada ya yule "Herode" aliyewatishia katika Nchi ya ahadi kufa, Bado familia hizi zimefichwa Ubelgiji na Canada. Na mara nyingi, kukitokea Hali ya hewa isiyo nzuri nchini, mabwana Hawa, haraka sana hukimbilia huko ugaibuni. Itakumbukwa hata wakati wa maandamano ya CHADEMA mwaka Jana...
  20. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Lema awaandikia Waraka mzito Mbowe na Lissu. Kuongea hivi karibuni

    Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
Back
Top Bottom