"NDUGU YAKO YUKO WAPI? DAMU YAKE INANILILIA UDONGONI"
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Leo katika pita pita zangu kwenye kitabu cha Biblia, nilianza kusoma kitabu cha mwanzo sura ya 1, 2, 3 nilipofika sura ya 4 nikashangaa akili yangu ikipata fikra mbalimbali. Nikashangaa nikimkumbuka Ben Saanane...