Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka...