lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hili la mbolea ya ruzuku kuna mahali tumeteleza, Bashe lazima awajibike

    Gazeti la Mwananchi Januari 18,2023.
  2. JamiiForums Tanzania Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ili kuongeza wigo wa Kodi, kila duka na, au biashara za mitaani, wanapopewa leseni, lazima wawe na lipa namba

    Unapodai maendeleo, jiulize kama unalipa Kodi, nashauri Kila biashara ambayo haitumii EFD receipt, Sasa zilazimishwe kuwa na LIPA NAMBA. Mfanyabiashara, kama anafanya biashara Kila siku, hajatoa taarifa kwa mamlaka kwamba ameifunga, angalau kwa wiki au mwezi aonekane kuitumia, na namba hiyo iwe...
  4. JamiiForums Tanzania Katika maisha fanya mambo kwa kiasi

    Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya. Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi. Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya isiwe lazima, Serikali msitake faida tu, wekezeni

    Amesikika Waziri Ummy akidai wadau wanataka bima ya afya kuwa lazima. Amekwenda mbali kuonesha wastani wa mapato ya chini ya mtanzania kuwa 137,000/- kwa mwezi. Ingependeza tukajua wastani wa mapato kwa mwezi kwake yeye kama waziri ni kiasi gani. Wadau wataka ulazima bima ya afya Kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

    UPUUZI #1. " Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga. UPUUZI #2...
  7. JamiiForums Tanzania Mwigulu kwenye hili la kuudanganya umma ni lazima uwajibike

    Kwa muda Mrefu Waziri Mwigulu Nchemba amekuwa akitoa kauli tata ambazo humlazimu Mh Rais kutoka hadharani na kuzitolea ufafanuzi kwenye hili Mwigulu inakupasa kuwajibika
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  9. D

    JamiiForums Tanzania France ni Lazima wamtimue Didier Deschamps

    Kwa kweli Jamaa amewafelisha sana. - Kosa la Kwanza ni sakata la Benzema. Imeabainika kuwa Benzema alitaka kubaki na timu baada ya Injury kocha akamkatalia, na ilip[ofika round of 16 Karim akawa tayari ameshari cover kocha akakataa kumrejesha kikosini. Na kuna fununu Kocha alicheza mchongo na...
  10. JamiiForums Tanzania Timu inayochukua Kombe la Dunia ni lazima iwe na wachezaji hawa

    Kombe la dunia limefikia tamati. Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo: 1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote 2022 Argentina - Messi 2018 France - Mbappe 2014...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

    Kama mnavyojua Argentina wamecheza michezo 6 ya kombe la Dunia mpaka sasa, wamepewa penalti 5. Yaani almost kila mchezo wanepewa penalti. Kesho dhidi ya Ufaransa wanapewa penalti nyingine
  12. JamiiForums Tanzania Eti Kwani kuoa ni lazima?

    Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana. Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na Yatima tu . Huu mradi wa Ndoa upo kiupigaji Sana . Bora nisaidie wahitaji kwanza, endapo nipokea wito...
  13. JamiiForums Tanzania Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

    Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno! Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m Morocco! Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
  15. JamiiForums Tanzania Msekwa: Kwa yanayoendela sasa katiba mpya ni lazima

    "...mabadiriko haya yote ni muhimu yatengenezewe katiba mpya ama tukamilishe ile ama tuanze upya lakini katiba mpya ni muhimu sasa." Pius Msekwa.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: 2025 Rais Samia lazima agombee

    Mzee Makamba anasema 2025 hakuna mjadala Rais Samia Suluhu atagombea urais tena. "Uchaguzi umekwisha sasa tunajiandaa na ligi ya 2025, na tunashinda kwa sababu wapinzani wetu ajenda zao ni mbili tu Katiba na Tume ya uchaguzi tu, kule kwetu Bumbuli hawashibi katika, wala mama yangu ukimuuliza...
  17. JamiiForums Tanzania Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"

    "Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema. Rais wa Ufaransa Emmanuel Muundo wa usalama wa baadaye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Piga ua Zelenskyy Kesho lazima awe Times person of the year 2022

    Piga ua Zaragaza zika fukua Volodymyr Zelenskyy rais wa Ukraine lazima awe Times Person of the year 2022. Tutamlaumu Putin kwa kumkosesha Mwamba Freeman Mbowe hii nafas. Ilishapangwa na Ilibidi iwe yake lakini Jamaa akaanzisha vita dhidi ya Ukraine February 24 2022 na kumpa shavu Zelenskyy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…