lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar es Salaam ni lazima wafanyakazi wa ndani (housegirls) watoke mikoani?

    Kila siku wafanyakazi wanatafutwa kutoka mikoa mingine na kwenda Dar Es Salaam. Hilo jiji halina watu wenye wanaoihitaji hizo kazi? Kitakwimu ndio jiji lenye watu wengi nchini? Mbona kila kutwa ninyi ndio wakuletewa wafanya kazi wa ndani na wasaidizi wa kazi kutoka mikoani? Sio kijana wa...
  2. From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza maisha Machi 17, 2021 akiwa madarakani, waandishi wakongwe wanne wamezindua kitabu kinachoonyesha sura...
  3. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  4. Kama huna cha kucomment ni bora upite tu. Kwani umeambiwa ni lazima kutia neno?

    Ifike mahala tujiheshimu kisha tuheshimiane sisi kwa sisi. Mbona tunakuwa na tabia za kimasikini kana kwamba hatumiliki ma Range humu ndani? Unakuta jitu linaingia M.M.U linakutana na nyuzi za kuzagamuana, linaamua kujaa sumu. Kwa hiyo ulitegemea ukutane na uzi wa report ya C.A.G? Shwain. Bila...
  5. K

    Ndoa za lazima baada ya ushoga kuruhusiwa

    Ninajaribu kufikiria baada ya serikali za kishetani zikiongozwa na US zitakapofanikiwa kuzifanya nchi zote Duniani kuwatambua wagonjwa wa akili waliobatizwa jina la wapenzi wa jinsia moja,hatua itakayofuata itakuwa ni kulazimisha ndoa za lazima,yaani kila mwanaume let's say mwenye umri wa miaka...
  6. Kuokoka ni lazima na kuoa ni lazima

    Kauli mbiu ya Mwaka
  7. T

    Nikweli Uchumi wa Dunia umeyumba ila kama Taifa lazima tuzijuwe alama za nyakati na kuchukua hatua!!!

    Nikweli Uchumi wa Dunia umetikiswa na kushuka kutokana na vita vya wenzetu huko ulaya. Lakini Mimi napata tabu kidogo kama mtu ninaye elewa uchumi kama Taifa tunakosea na tunakoelekea uwenda kama Taifa tukajikuta kwenye giza Nene la uchumi kutokana na makosa. This is very simple formula gari...
  8. Zelensky akutana na waislamu na kusema lazima Crimea irudi Ukraine

    Kwenye misosi ya futar, amesema kwa vyovyote vile lazima Crimea irudi...... Natumai maustadhi wa humu mtapunguza chuki dhidi ya Ukraine kisa chuki zenu kwa Marekani. The Ukrainian president hosted an Iftar with Muslim officials, including the Crimea's Tatars. Meanwhile, Kyiv said it will resume...
  9. Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  10. Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika. Niko mahali...
  11. N

    Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

    Habari zenu wanajukwaa, Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa. Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana...
  12. Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  13. Kadiria Kodi kabla ya 31-March, epuka penati isiyo ya lazima ya Biashara au Kampuni yako

    Habari, Mtanzania mwana JF, Makadiro ya Kodi ni Kwa kila mlipa kodi. Huwa yanafanyika muda wowote kuanzia tarehe 1,January hadi tarehe 31,March kila mwaka Kwa Yeyote atakae chelewa kufanya makadirio, kwa sasa, siku moja baada ya tarehe 31, March kunachaji(penati) ya Tsh 225,000 kwa KILA mwezi...
  14. Mifuko ya Hifadhi iwe hiari na sio lazima

    Hii mifuko yote iwe ya hiari tu na sio lazima sababu wote ni wezi; kujiunga ni rahisi lakini kutaka pesa zako ni mlolongo mrefu kama nini! Mimi nilikuwa PSPF kabla haijajiita PSSSF, tukaambiwa sisi private twende NSSF, sasa nikasema hela yangu vipi inaenda kule au mnanipa? Hawataki eti mpaka...
  15. Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  16. S

    Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  17. B

    Ridhiwani: Barua za Utumishi zijibiwe haraka kuepusha malalamiko yasiyo ya lazima

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
  18. Kufuatia kutumbuliwa kwa DC wa Sumbawanga, kuna vitu havipo sawa nchini na ni lazima visemwe

    Kwanza kabisa naanza kwa kumsalimia Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa heshima zote kabisa maana najua atasoma uzi huu kwani anapita humu na tupo naye. Ni swali la moja kwa moja tu, kama ni kweli yule DC wa Sumbawanga katolewa kwa igizo lile basi hatuna budi kujitafakari upya lakini pia...
  19. Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  20. Sasa kama kumbe Kutokukoma kwa Teuzi ni Agenda ya Siri ya CCM kuwa kila mwana CCM lazima ale Keki ya nchi kwanini msiseme tu?

    Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu. Nimedokezwa kuwa kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…