lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. thegreat1510

    Sio lazima uende CHADEMA ili kuwa mpinzani, jipenyeze kwenye mifumo yao kama Magufuli halafu badili uliyokuwa unaona si sawa

    Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali. Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako. Work smart, jiunge na Chama tawala, chezesha...
  2. M

    Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  3. BigTall

    Alphonce Msigwa: Uoto wa Asili lazima urejeshwe na kulindwa

    Alphonce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Kulinda Ikolojia ya Hifadhi ya Mahale na Hifadhi ya Katavi amesema lengo la mradi ni kusaidia Wanyamapori kuendelea kuwepo huku Abel Mtui ambaye ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi akisisitiza umuhimu wa upatikanaji wa magari yaliyotolewa...
  4. Anonymous

    Kagame na Siasa za ubabe: Kupiga kura na kuchangia chama tawala si hiari, ni lazima!

    Paul Kagame Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote. Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Kula kwa jasho ni kuhangaika kutafuta riziki sio lazima utoe jasho la mwili au ufanye kazi za nguvu ya mwili

    KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
  6. T

    Chalamila: Natamani katiba mpya iseme ukimaliza chuo kikuu huna ajira ulipwe nusu mshahara mkopo wa elimu ya juu usiombwe upewe lazima.

    Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf. Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
  7. thadayo

    Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  8. T

    Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu

    "Nimeshakutumia Whatsapp na usinisumbue" Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu, eti Otikiiii 😂 😂 🤣
  9. ndege JOHN

    Kiatu usipovaa na soksi lazima kinuke

    Basi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi miguuni.wengi naona hata siku hizi wanaovaa sendo wanaovaa na soksi.
  10. ndege JOHN

    Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  11. Superbug

    Kama Mungu angekupa nafasi ya kuamua uishi miaka uipendayo je ungechagua mingapi? (Sharti muda lazima)

    Toa sababu pia kwanini umechagua miaka hiyo. Mimi 1000 sababu ningependa kuona tabia ya nchi inavyobadilikabadilika.
  12. haszu

    Kwenye maisha Kuna mambo lazima ukubali kua huna na huwezi kuyapata KAMWE.

    Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani. Kwa mfano 1. Muonekano wako, kama we ni...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo limebadilisha mandhari na mtiririko wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam. Kabla ya ujenzi wa daraja hili...
  14. mmmuhumba

    Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  15. Chakaza

    Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  16. Princesswaprince

    SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  17. M

    SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  18. MamaSamia2025

    Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

    Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu. 1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere 2. T.I.D 3. RC Chalamila 4. RC mstaafu Aggrey Mwanri 5. Ommy Dimpoz 6. Mheshimiwa Kishimba 7. Babalevo 8. Mheshimiwa Kibajaji...
  19. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  20. peno hasegawa

    Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
Back
Top Bottom