laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kazi ya upolisi ni kazi yenye changamoto sana

    May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni watu wa dhuluma, uonevu na unyama wa kutisha unaweza kusema mtu fulani mtoto wako au ndugu ni mwema...
  2. JamiiForums Tanzania Laana inavyovuruga watu bila kujua imetoka madhabahu gani!

    Kuna maandiko yanasema: Basi njoo unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitaweza tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye umbarikiye hubarikiwa na yeye umlaaniye hulaaniwa. 1.Laana ni sehemu ya kuua nguvu na laana hutoka kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

    Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola. Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kutofanikiwa kimaisha ni dalili ya Laana? Watu wa fungu la kumi wanasemaje katika hili?

    Huenda mwenzangu hapo ulipo unapitia misoto, yani dili zako hazitiki kwa wakati na hata zikatiki zinakutana na changamoto lukuki kias kwamba hata pesa uliyoipata inafikia madeni, magonjwa, ajali nk. Wenywe vipawa vya masuala ya imani yaani rohoni waje hapa kutufumbua macho. Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Hii ni zaidi ya laana, ona kinachofanywa na huyu mama na mwanae wa kiume

    Mcheza porno za OnlyFans aitwaye Andressa Urach (36) anamtumia mwanae wa kiume aitwaye Arthur Urach (18) kurekodi video na picha za ngono kwa ajili ya kupost kwenye akaunti yake ya OnlyFans. Hiki ni kipande cha video ya interview waliofanyiwa mama na kijana wake. Ukisoma subtitle hapo chini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya mbwa, yenye laana, iliyobeba uharibifu, HAIPOKELEWI ng'o!!

    Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA HUKATALIWA, Fuatana nami. 1. Nabii Elisha, anakataa vitofali sitini vya Dhahabu alivyoleta Naamani...
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Msumbiji, magaidi na Jeshi - Part 3

    - Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa makubaliano ya siri yalowekwa na raisi wa Msumbiji, Felipe Nyusi, na raisi wa Rwanda, Paul Kagame...
  10. JamiiForums Tanzania Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

    Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021. Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale." Akimaanisha watu wa Msumbiji...
  11. JamiiForums Tanzania Familia zenye Laana, taifa lenye laana,

    FAMILIA ZENYE LAANA, TAIFA LENYE LAANA, Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Familia zenye laana huzalisha taifa lililolaanika. Làana ni malipo ya uovu ulioufanya wewe mwenyewe au uliofanywa na Watangulizi wako. Baraka ni malipo ya Wema kwa uliyoyafanya mwenyewe au yaliyofanywà na Watangulizi...
  12. JamiiForums Tanzania Sifa wanazopewa viongozi hawastahili ni wajibu wao kutekeleza wanayoyafanya, siasa ni mchezo mchafu umejaa laana, unyanyasaji na dhulma

    Afrika ni bara lenye laana, limejaa watu wa ovyo sana haswa hawa wanaojiita chawa. Imagine unapambana usiku na mchana unatengeneza pesa alafu una-mteua mtu asimamie mali na pesa zako na unamlipa mwisho wa mwezi. mtu huyo anaenda dukani anakununulia kiatu kwa pesa zako, kwa upumbavu ulionao...
  13. JamiiForums Tanzania Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

    MSAFARA WA FARIS WAUWA WATOTO WAWILI KAMACHUMU MULEBA. Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Biruan umewagonga na kuwauwa watoto wawili huku wengine wakijeruhiwa. Ajali hiyo imetokea Kata Kamachumu wakati kiongozi huyo akitoka kwenye ziara yake katika wilaya ya Muleba. Watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao. Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu. Bwana huyu naye...
  18. JamiiForums Tanzania FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  19. JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mvua na Jua vya laana

    Kumekuwa na ukame mkubwa ambapo mvua zilikosa kabisa kunyesha. Sasa imeanza kunyesha. Watu wamepanda mahindi na mazao mengine. Kinachoonekana ni kuwa zinanyesha bila kukatika na hivyo kila mmea kuoza. Tunaomba mvua za kiasi si za laana Likija jua kila kitu kinakauka. Jua la laana! Nchi gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…