laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHAMA CHA WALIMU KILINDI LAANA YA DUA MBAYA IWE JUU YENU.

    Habari za mchana. Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen. Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  3. JamiiForums Tanzania hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

    Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  5. JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu: CCM ni kama laana kwa Tanzania

    Tujifikirishe kidogo kwa nini Tanzania ni nchi masikini kwa kiasi hiki kuliko hata Kenya pamoja na rasilimali zake zote hizi. Tatizo ni utaratibu mbovu wa utawala wetu aka katiba mbaya. Katiba mbaya ni kwasababu ya CCM na walarushwa! Sasa mnao unga mkono huu mfumo ni sawa na watumwa wanao...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi Ilistahili Kuwa Takatifu, Lakini Ilipobadilishwa na Kuwa Ya Kuwalinda Watawala Katili, Imekuwa Kazi ya Laana.

    Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama. Lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Laana ikoje wadau?Je ni kweli inaweza kuachwa na mtu? Sifa zipi zinamfanya mtu aweze kuacha laana?

    Mzee? Maskini? Kwa kosa lipi hasa? Je tajiri naye huacha laana?
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake mna Mapepo Kama sio Laana

    Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kukataa hizi laana kwa nguvu zako zote.

    Kwa nini hatuanzi, na tukitaka kuanza tunaghairi? Moja ni ‘laana’ ya kuwa na uwezo. Unajua unaweza, ukitulia siku moja tu kazi ya mwezi mzima utaifanya ndani ya siku mbili na hakuna tatizo. Kwa nini uanze mapema kama unaweza kuanza siku moja kabla? Unaahirisha upumzike kwanza. Pili, imani kuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Nilishirikishwa ufisadi na "mamlaka kuu" nikakataa, naogopa laana za Watanzania

    Amejitoa mhanga! Anytime soon atabambikiwa kesi ya Uhaini! Or any other life threatening attempts on him Huyu ni next to Lisu! Msikilize Note: mamlaka kuu ameitaja, sikutaka kuiweka kwenye heading
  13. O

    JamiiForums Tanzania Karatasi za kufuta laana

    Story ya kweii yenye mafumbo. Sehemu ya kwanza.... Dar es Salaam ina siri nzito. Unaweza kudhani unaijua kwa sababu unatembea mitaa ya Posta, Kariakoo, au Masaki mchana, lakini ukweli ni kwamba hujui kitu. Chini ya taa za jiji hili, kuna milango isiyoonekana na macho ya kawaida. Milango...
  14. JamiiForums Tanzania Tufanyaje ili tuitoe nchi kwenye hii laana ya damu?

    Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa. Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa. Tukiacha hii laana...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna laana mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana

    Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa waarabu wanawanyanyasa MaShia kwa kuwafunga, kuwafukuza na kufunga misikiti yao. Hili halitavumilika. Laana za Allah ziwe juu yao

    MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI. Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza Mashia kwenye nchi zao, kutaifisha mali zao na hata kufunga misikiti yao. Ukweli ni kuwa wanarudisha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli ulimi wako unaweza kuwa laana kwako ukiutumia vibaya

    Kumbe kinachosema watu kuwa ulimi wako unaweza kuwa laana kwako ni kweli. Kuna dada mmoja hapo nyuma aliachana na mume wake baada ya kufungua kibiashara chake ambacho kilikuwa kinamuingizia pesa. Dada uyo alimchafua mume wake kwa kumtukana mpaka kwenye mitandao ya kijamii TikTok uko akishauria...
  18. JamiiForums Tanzania Aina za laana

    Kuna aina mbalimbali za laana zinazoaminiwa kuathiri maisha na mwili wa binadamu, pamoja na mbinu tofauti za kujikinga kulingana na imani za kidini na kijadi. hizi laana zimegawanywa kulingana na chanzo chake ama asili yake... Hebu tuzipitie moja moja 1.Laana za Ukoo (Generational Curses)...
  19. JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  20. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama una laana?

    Laana ni nini? Kwa mujibu wa Biblia laana ina maana kadhaa wa kadhaa ikiwa ni pamoja na; 1. Kuwa na maisha yasiyo zaa 2.Kutambaa (kuwa na hatua hafifu kwenye maisha) 3.Kufa, hapa namaanisha kifo cha mwili au kuishi maisha kama mfu. Au kuishi mahali ambapo kila kitu kimekufa. 4.Kuzaa watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…