kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

    Kwema Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini? Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
  2. JamiiForums Tanzania Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suali kwenu

    Alietairiwa na asie tairiwa/aliekeketwa na asie keketwa yupi ananogesha ? haya wapita njia mbalimbali tupeni elimu ili wakati wa ndoa tujuwe wa kuchagua.
  4. JamiiForums Tanzania Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  6. JamiiForums Tanzania Kilio kwenu mama samia na waziri mkuu majaliwa

    Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE. Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Simba kazi kwenu

    Yamebaki masaa machache Simba kwenda kulitia taifa aibu.
  8. JamiiForums Tanzania Askari wa Kituoni Ubungo Simu 2000 kilichowatokea leo kiwe ni Fundisho Kwenu na muache kuonea Madereva mtakuja Kufa Kipuuzi

    GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono. Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
  9. JamiiForums Tanzania Swali kwenu

    Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.? Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi . Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba?? Semeni tu ukweli
  10. JamiiForums Tanzania Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  11. JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  12. JamiiForums Tanzania Huu wizi wa wazi kwenu watu wa halimashauri

    11
  13. JamiiForums Tanzania Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  14. JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
  15. JamiiForums Tanzania Wadada mnaoendesha magari na wenye kazi nzuri acheni kulinga mtazeeka mkiwa kwenu

    Mko poa Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe. Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
  16. JamiiForums Tanzania Kwenu ninyi Feminist uchwara

    hh
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  18. JamiiForums Tanzania Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

    Naona mambo yanazidi kupamba moto, sukari beii juu mafuta kula bei juu Petrol na diesel bei juu tutafika tumechoka sana.
  19. JamiiForums Tanzania Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenu mliowahi kuogeshana kwa hizi scrub, tupeni uzoefu wenu nasi tuweze kunogesha mapenzi.

    mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…