kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wagonjwa kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti moja ya sababu kuyumba kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti. “Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji kubadilisha Chinese Yuan kwenda Tsh au Tsh kwenda chinese Yuan kwa bei poa wanitafute

    Habari, Wanao hitaji kubadilisha Chinese Yuan kwenda Tsh au Tsh kwenda chinese Yuan kwa bei poa wanitafute. Mawasiliano yangu: 0747744895
  3. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars yatarajia kwenda Rwanda kucheza na Rayon Sports FC

    Watu wa Soka, Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa. Timu yetu inatarajia kusafiri kuelekea Rwanda siku ya Ijumaa ya tarehe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kujua kama mimba haijatoka yote au Hospitali gani naweza kusafishwa?

    Habari, Naomba kuuliza mimba iliyotoka na nimebleed siku 6 mfululizo, je naweza nikawa nina mimba tena? Mimba iliharibika week iliyopita.
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini sensa ya watu na hii ya majengo hazikufanywa sambamba?

    Tumeambiwa zaidi ya 600bn/- zimetumika kwenye sensa tuliyoambiwa ni ya watu na makazi. Tungali tunajitafakari wanakuja na jipya: Hili nalo ni zoezi la bilioni ngapi? Hivi makazi na majengo nini tofauti? kwanini mawili haya kama ni tofauti na kama ni muhimu hayakuunganishwa ili kufanywa pamoja...
  7. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

    Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure. Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi. Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

    Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama. Kikipatikana mapema...
  9. monotheist

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

    Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dennis Rodman kwenda Urusi kujaribu kumtoa Brittney Griner

    Nguli wa mchezo wa kikapu katika Ligi ya NBA, Dennis Rodman amedai ana ruhusa ya kwenda Urusi kwa ajili ya kujaribu kumtoa kifungoni nyota wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner. Griner anatumikia kifungo cha miaka 9 gerezani Nchini Urusi kutokana na kukutwa na dawa za kulevya, mazungumzo ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Prof. Mwandosya kutoka “theory” kwenda kwenye utendaji, utafanikiwa?

    Tarehe 19 Agosti 2022, Barua kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ilieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa Real Madrid, Casemiro akubali kwenda Man United kwa Paundi Milioni 60

    Manchester United imekubali kutoa Paundi Milioni 60 (Tsh. Bilioni 167) kwa ajili ya kumsajili kiungo mkabaji wa Real Madrid, Casemiro baada ya klabu hizo kufanya mazungumzo kwa siku kadhaa. Inaelezwa kuwa Mbrazili huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya wikiendi hii na kila kitu kikienda...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kupiga bahari mabomu, Marekani nao waamua kwenda kufanya operetion za kivita hapo mahali

    Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli.... A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
  16. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  17. Patriot

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kushawishi wasomi kwenda kulima. Ninyi na watoto wenu mbona munaingia kwenye siasa?

    Hii ni nane-nane na kuna wanasiasa wengi wanazindua sherehe na taasisi za serikali zinajilazimisha kwamba wamefanya makubwa ktk kilimo. Huu ni unafiki kwa wanasiasa na taasisi za serikali. Tunayoyaona ktk maonesho haya, kama kweli ndiyo mafanikio ya kilimo kila mwaka, basi kilimo cha nchi hii...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

    Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

    Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato. Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

    Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha. Ni la kutaka kueleweshwa tu. Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba. Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani. Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
Back
Top Bottom