kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanamke kukupangia sehemu ya kwenda kugegedeana?

    Amani ya Bwana iwe nanyi! Kuna mwanamke nilikua na appointment nae ya kwenda kusex leo, mimi kwa bajeti yangu ya elfu 30, nilipanga twende lodge flani tu hapa hapa mtaani. Mahesabu yangu yalikua ni gharama za Lodge 20k, na bia mbili mbili elfu 8, elfu 2 inayobaki ningempa nauli ya boda kurudia...
  2. JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  4. JamiiForums Tanzania Nini huwa kinawasukuma watu wa kawaida kwenda kwenye maandamano ya timu za michezo?

    Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe, Sijawahi kuelewa wanafaidika nini na maandamano kama hayo, michezo kuna namna fulani huwa inawafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Mshahara ukitoka tu nakuwa na wenge na akili haitulii inawaza kwenda tu bar kunywa pombe

    Mambo vipi wakuu? Leo nimekuja na shida yangu kubwa ni ulevi uliopindukia wa pombe kali kuna muda hadi narudishwa nyumbani na watu maana nikianza kunywa tu naweza fululiza ata siku mbili na kula unakuta nashindwa,yaani nimejaribu kuacha nimeshindwa kuna kipindi nimewahi pia kuomba ushauri na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  9. JamiiForums Tanzania Nimefiwa na dada yangu Oliva 25 Jun 2026 tunasafirisha kwenda Njombe

    Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026 dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji familia .Tunasafirisha kwenda Njombe ndio nyumban. Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Eng James...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  12. JamiiForums Tanzania Usihangaike kwenda kuprint nitakuletea ofisini kwako

    Habari Boss? Umekuwa ukiangaikia Printing? Basi sasa naweza kukuletea Kazi mpaka Ofisin kwako baada ya Kukudizainia nitakwenda kukuprintia na kukuletea. HUDUMA UTAKAZOZIPATA 1: Business Cards 100Pcs 25,000/= (Design,print & Delivery) 2: Flyers (Vipeperushi A5) 100Pcs.. 50,000/= (Design...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi hii inatia hasira bila kwenda road hakuna kitu kitabadilika

  14. A

    JamiiForums Tanzania Afya ya mama mjamzito

    Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike? NI ujauzito wake wa kwanza.📌 dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
  15. JamiiForums Tanzania Nimepishana na Nissan Leaf zinasafirishwa kwenda nje (IT). Hawa jamaa watatoboa kweli ata Moro tu?

    Leo Nimepishana na Nissan Leaf 2nd gen tatu, mitaa ya Mbezi Magufuli (Morogoro Rd). Zote IT zinasafirishwa labda Malawi, Congo, Burundi nk ambako umbali ni zaidi ya 1000 km kutokea Dar. Sasa hivi vidude battery ndogo 40 kWh, vina range ya 240 km, ikiwa mpya na zile Leaf Plus zina battery ya...
  16. JamiiForums Tanzania JE, UNAHITAJI UJUZI WA KOMPYUTA LAKINI MUDA WA KWENDA CHUONI NI MDOGO?

    Katika mazingira ya kazi ya leo, ujuzi wa Microsoft Office na Excel si jambo la ziada tena bali ni hitaji muhimu kwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wanafunzi. Changamoto kubwa kwa wengi ni kukosa muda wa kuhudhuria mafunzo ya kawaida kutokana na majukumu ya kazi na ratiba za kila siku. Kwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje

    Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli. Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu. Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa namna ninavyoona taifa langu likipotea, nabugia Balimi kwa kwenda mbele na kuchanganya na Konyagi. CCM imeharibu mustakabali wa Taifa letu

    Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kwa shule na vyuo binafsi, je umeandaa na kuwasilisha taarifa zako za fedha zilizokaguliwa za mwaka 2025 kwenda TRA?

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…