Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

Sikutegemea swali kama hili kwa mtu ambae anakaa Ushirombo. Anyway, usiende Meatu kwa ushamba huu. We rudi Runzewe ukachimbe mafini tu na ulale kwenye hivyo vi guest house vyenu vya bati
 
Karibu meatu nipo meatu hapo shukia shinyanga kuna gari zinakuja moja kwa moja mpaka meatu ndio kituo cha mwisho
 
Back
Top Bottom