Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo.
Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti anaishi mbali kidogo na wazazi wake ana group la Mabinti wengine anaoishi nao....wanapanga kwa kushare...