kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Phobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila munu ave na kwao! Mtoto wa Mtwara mie nimedata kwa mtoto wa Simiyu msukuma nyantuzu! Nataraji kumuweka ndani

    Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu 3,000 kwenye magereza yetu! Hatuwezi kuwarejesha kwao tukaokoa gharama za kutunza?

  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote kutumiwa salamu siku yake ya kuzaliwa na vyombo vya habari nchini ni lazima au kujipendekeza?

    Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal. Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

    Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba. Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko. Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea. Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu. Tukaenda...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ndio wameongozwa kutazamwa Facebook 2022 kiulimwengu. Wachekeshaji wetu wajifunze kitu kutoka kwao

    Habari! Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka. Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa. Soko lao linaishia ndani tu...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Uchawa (CCM) vs ukupe (CHADEMA) aibu kwao wote

    To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe. Ulinganisho huu ni...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwafutia ukimbizi wanaogoma kurudi nchini kwao

    Serikali ya Tanzania imesema itawafutia hadhi ya ukimbizi wakimbizi wa Burundi wanaoishi mkoani Kigoma, iwapo wataendelea na msimamo wa kutojiandikisha na kurejea kwao kwa hiari katika kipindi chote chapili ambacho serikali ya Burundi nayo imeingilia kati kuhamaisha. Hatua hiyo imekuja mara...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

    Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeingia Tunisia na Wazee wetu Watatu. Hawa ni wazee wapya wa Kamati ya Ushindi. Watunisia wamelala kwao....

    Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa. Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

    Imeisha hiyo Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane. Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua. Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will...
  15. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kufuta namba ya mtu kwenye simu yako na ukarudi kuihifadhi tena baadaye?

    Waslaam wakuu, Kuna hili suala ambalo limenitokea mara kadha naomba kuwashirikisha, sijui huwa linawatokea na nyie ama ni mimi pekee yangu tu. Kuna muda ambao una rafiki yako ama mpenzi wako huwa mnaaminia sana, ila ikatokea siku mkaahidiana mambo fulani ila mmoja wenu haswa rafiki/mpenzi wako...
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

    Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

    A. MAENDELEO (Kujenga kwao) Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

    1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zile timu ambazo tulikuwa tunazipokea zikija Dar sasa ni wakati wa kurudisha ukarimu wetu kwao

    Hii timu yetu imepitia kipindi cha hovyo sana miaka ya hivi karibuni. Kila nikikumbuka naona kama kuna laana fulani iliachwa kwetu. Nawaza tunaenda Sudan, ni akina nani watatupokea kule kama ambavyo sisi tuliwapokea wao? Ili Taifa liendelee linahitaji kuondokana na maadui watatu. 1. Upumbavu 2...
  20. Vladivostok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
Back
Top Bottom