kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya kwanza ya wanufaika HESLB 2024/2025 yatangazwa

    Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Awamu hii ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Mnaotongoza msichana siku ya kwanza tu mnawezaje?

    Habarini wana jamvi, Nimeona hii niulize kwenu na nitatumia mfano mmoja ulionikuta. Kwanza kabisa kipindi sijao, enzi hizo nina ubrothermen mwingi sana siku hizi nishazeeka japo under 40, nilipita sana na wadada ila nimegundua nilikuwa nachukua Bar, kwenye clubs na sehemu za chakula so it was...
  6. JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  7. JamiiForums Tanzania POTOSHI: CHAPISHO LA NOTI YA SHILINGI 10000 IMEWEKWA PICHA YA SAMIA KAMA MWANAMKE WA KWANZA RAIS

    Picha hizo hapo
  8. JamiiForums Tanzania Nilichokiona mara ya kwanza baada ya kuagiza kitu ebay

    Nilikuwa sijawahi kufanya manunuzi ya kitu mtandaoni, kwa mara ya kwanza tarehe 5/08/2024 nilifanya manunuzi ya miwani ya macho katika mtandao wa eBay, hii ni baada ya miwani yangu kupasuka. Niliingia katika mtandao wa eBay, nikasearch aina ya miwani ninayoitaka, nilishangaa sana bei...
  9. JamiiForums Tanzania Kujali kunaanza na wewe kujijali kwanza

    KUJIONA | KUJIPENDA | KUJIJALI Jambo lolote unalohisi haupewi ni kwa sababu hauna, ukiona mtu analalamika hapendwi ndani yake yeye ndio upendo hamna, mtu akisema anadharauliwa ndani yake dharau zimejaa, vivyo hivyo kwa kupoteza kipaumbele chako mwenyewe. Hii ni kwa sababu ukiwa na kitu ndani...
  10. JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi kidato cha kwanza ajiua kwa kujichoma kisu Tunduma

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi. Kijana...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Willy Essomba Onana afunga hatrick kwenye mechi yake ya kwanza ya kitafiki akiwa na timu Al Hilal Benghaz

    Salaam Wadau wa Michezo, Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki. Taarifa hiyo nimeiona kwenye akaunti ya Instagram ya Aggy Simba na kwa SeekerTZ.
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu yako anaweza kuwa adui yako wa kwanza

    Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako. Tujifunze na tuchukue tahadhari.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli maandishi yote kwenye Bibilia yaliandikwa kwanza kwenye nawe na iliwezekana?

    Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa. Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika...
  16. JamiiForums Tanzania Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  17. JamiiForums Tanzania China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  18. JamiiForums Tanzania Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

    Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃 Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo. Rafik yangu alikuwa ni wale...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya kwanza lami Dar road mtumba vinauzwa sqm 5229 bei mil 145

  20. JamiiForums Tanzania KWELI Momčilo Gavrić ndiye mtu mwenye umri mdogo kupigana vita ya kwanza ya dunia WWI

    Katika pita pita yangu ndani ya maktaba moja kubwa hapa nchini nimekutana na jina la huyu mtoto, Momčilo Gavrić na taarifa kuwa ndiye mtoto au mtu mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia vitani mpaka sasa, huku vita ya kwanza ya dunia WWI iliyoanza Julai 28, 1914 na kutamatika mwezi Novemba 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…