kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  2. JamiiForums Tanzania Dini zililetwa na Wageni, Halafu hatukuzichunguza kwanza. Tukazifakamia. Mababu zetu wanasemaje?

    Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
  3. JamiiForums Tanzania Theresia Dismas : Mama jasiri aliyeiletea Tanzania medali ya kwanza 1965

    Katika medani ya kimichezo Tanzania, historia ya kuletwa medali ya kwanza katika mshindano ya kimataifa ilitekelezwa na mwanamama Theresia Dismas Watanzania hatukumjua na hata tukatabiri kwamba mama yetu Theresia Dismas hayupo duniani kama nilivyowahi kuandika katika blog hii. Ukweli ni...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

    Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya Waliopita Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/UI1dwP9caIQ?si=cdOmNaWG4V_LiCLs
  7. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  8. JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  9. JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

    Wakuu, Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia Akanitajia majina yake tulivyowasilina Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea. Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya...
  10. JamiiForums Tanzania CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  12. JamiiForums Tanzania STORY FUPI: Fikiria kwanza Kabla ya kujaji

    SOMA ILI UJIFUNZE KITU, AMINI HUWEZI KUTOKA BURE Siku moja Dokta aliingia haraka sana hospitalini mara baada ya kupigiwa simu iliyomtaka akafanye upasuaji. Baada ya kufika hospitalini alibadilisha nguo zake haraka na kuelekea moja kwa moja katika jingo upasuaji. Kufika katika lile jingo la...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Oman imerusha satelite yake ya kwanza

    Oman yazindua satelaiti yake ya kwanza yenye teknolojia ya hali ya juu ya kuhisi kwa mbali na AI Sultanate ya Oman, ikiwakilishwa na kampuni ya ‘Oman Lens’, imefanikiwa kuzindua satelaiti yake ya kwanza iliyosajiliwa na Umoja wa Mawasiliano wa Kimataifa (ITU). Muscat – Satelaiti hiyo imeundwa...
  14. JamiiForums Tanzania Al Fatah Walipotembelea Maktaba Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/9LoUUlaLxFA?si=ESZUqXGFchy9-ID7
  15. JamiiForums Tanzania Agizo la kwanza la Trump kwa Zelensky kwamba ajikite kwenye kutafuta amani siyo yale maeneo

    Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa heri. Best wishes Mr Trump.
  16. JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mipango ya Rais Mteule Donald Trump kwa Siku 30 za Kwanza Baada ya Kuapishwa

    Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
  18. JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
  19. JamiiForums Tanzania Weka 20% (1/5) ya mapato yako yote kama akiba, weka akiba kwanza kabla ya kutumia kila kipato unachokipata

    Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama akiba kwa ajili ya hii itakusaidia 1.kukabiliana na dharura pamoja na wakati ujao usio dhahiri...
  20. JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…