kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  3. JamiiForums Tanzania Simba kwa mara ya kwanza anapata ushindi kaskazini mwa Afrika

    Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien . 1 : Walihakikisha wanawafanya Cs Sfaxien hawanufaiki na mipira ya juu yote ya juu (wanacheza...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kitoe kibanzi ndani ya jicho lako kwanza ndipo umwambie mwenzio

    Huyu jamaa huwa nilianza kumtilia mashaka na uwezo wake juu ya uandishi wa vitabu vyake, hasa pale baada ya kushindwa kuchochechea mijadala ya uchaguzi ndani ya CHADEMA, yeye Kama ni miongoni mwa mwandishi wa vitabu Afrika na kuchukua tunzo mara mbili. Alishindwa kutumia kalamu vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje darasa la kwanza masomo nane?

    Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote. Math English Kiswahili Drawing Reading Sport &art Heath...
  7. JamiiForums Tanzania Ndio kwanza Januari 2, ila huu mwaka bora uishe tu

    Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani. Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025. Na wewe umepigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Huduma ya kwanza kwa mtu anayesumbumiwa na maumivu ya jino

    Hello ,happy new year. Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi . Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana . Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10 Rudia rudia hilo zoezi...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  10. JamiiForums Tanzania Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kikosi changu cha kwanza, round ya kwanza msimu huu

    1. Mousa Kamala(Simba) 2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga) 3. Paschal Msindo(Azam) 4. Abdulazak Hamza(Simba) 5 Ibrahim Bacca (Yanga) 6. Nelson Munganga (Tabora United) 7. Pacome Zouzou (Yanga) 8. Marouf Tchakei(Singida BS) 9. Elvis Rupia(Singida BS) 10. Feisal Salum (Azam) 11. Max Nzengeli (Yanga)...
  12. JamiiForums Tanzania First impression at first sight ndiyo hubeba kibali cha mahusiano yoyote. Jipange vyema unapokwenda kukutana na mtu au taasisi kwa mara ya kwanza

    Usijieleze sana, maana haibadilishi chochote. Binadamu anakupenda ama kukukubali dakika tano tu za kwanza anapokuona, hata kabla hujajieleza. Namaanisha, binadamu anakukataa moyoni dakika tano tu za kwanza mara anapokuona kwa mara ya kwanza. BILA SABABU YOYOTE, yaani, JINSI ULIVYO TU...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia kutakatisha fedha zao" akanijibu kuwa anataka angalau amani ya moyo tu. Akaendelea kusema kwamba wote...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25 Mbowe asherekea Xmas Dar badala ya K'njaro, kweli Lissu sio mtu wa mchezo mchezo

    Huku Mbowe akiona uenyekiti ukipita katikati ya vidole vyake na kumpokonya. Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 25, ( kutoka kwa watu wa karibu wa Mbowe), mheshimiwa anasherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ndani ya Dar es Salaam badala ya Kilimanjaro. Mbowe na timu yake wameamua kutumia muda huu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Kabla ya Maridhiano huwa tunaanza na Muafaka, Chadema tuonyesheni huo Muafaka wa Kitaifa vinginevyo hayo makubaliano yenu hayako kisheria!

    Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa Ni Ukurasani X Anaanza kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza

    Msanii, mtangazaji, na mtumishi wa Mungu, Emmanuel "Masanja Mkandamizaji" Mgaya, leo Disemba 25, ameonesha kwa mara ya kwanza maendeleo ya ujenzi wa kanisa lake jipya, Feel Free Church. Kanisa la Feel Free Church linajengwa maeneo ya Uwanja wa Barafu, Mburahati, jijini Dar es Salaam...
  17. JamiiForums Tanzania Njia ya kupokea Upendo ni kuutoa kwanza.

    Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala hauongezeki. Hivyo unachotakiwa kuusogelea karibu ili uweze kuufaidi, na huko kuusogelea karibu ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  19. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa?

    Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara. Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm niliingiziwa boom laki 7 kipindi naanza semester ya kwanza first year nikaingia kupatana.com...
  20. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza nakanyaga Kigoma na niliyoyaona huko

    Baada ya kufika Kigoma nikakaa siku kama ya 3 hivi nikasema niende mjini , nikaenda barabarani Buzebazeba ( ndo nilipofikia), ilikuwa jioni , nikagundua kumbe 1. Kigoma hakuna foleni barabarani. 2. Hakukuwa na dalalada za mjini kama huku Bali Kuna vibajaji. Basi nikapanda kibajaji , njiani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…