kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Somo la Business Studies litakuwa la lazima kwanzia kidato Cha kwanza hadi Cha nne

    Taarifa kutoka NECTA
  4. JamiiForums Tanzania Kama kweli tunataka ligi isiwe na mapinde kama haya basi tuache unafki kwanza na double standards kemea kote

    Jana Yanga ameshinda kelele zimekua nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa simba malalamiko yao yameanza kuanzia kwenye kupanga kikosi cha singida black stars na yameenda mpaka kwenye mambo ya gsm kuzamini timu zaidi ya mbili Tukubaliane kwamba malalamiko yao ni ya kweli lakin je walishawahi...
  5. JamiiForums Tanzania Choo cha kwanza cha kukaa sema Genz 2000 hawajui haya

    Hii kwa watoto wa kuwekwa kwenye Pot,pampus na tissue hawajui kuhusu hichi kiti cha asili cha kukalia.
  6. JamiiForums Tanzania Fungua mwanga wa mustakabali wa sekta- Jiunge nami kufanya kitu cha kimaendeleo na kuvutia sana(Bila mtaji wa kwanza lakini kwa shauku kubwa )

    Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko. kwa kipindi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

    Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba nzuri ya kwanza ya Lissu tangu nimfahamu

    Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Kwa hotuba Lissu ameshaanza kukomaa. Bado TU kutueleza ni kwa vipi ataondoa umaskini kwa watanzania na vipi ataboresha elimu, afya, kilimo, uchimbaji, biashara, uvuvi na ufugaji kama chadema ikipewa ridhaa. Hata Ruto aliimba hayohayo wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau wenye uzoefu na maduka na hizi stores za kawaida hivi hawaitaji mtu anaeweza kua anafanya stock taking

    Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu. Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania kwa mara ya kwanza nimetumia PREP ON DEMAND 2-1-1

    Mwezi haujaisha ila mmh!!Nimepiga mzigo mmoja hatari sana. siko sure saana na hizi kitu!!…. Maana wiki sasa leo naona kama nawashwa washwa Wenye uzoefu wa hizi dawa za prophylaxis wanitie moyo!😎
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Mwanamke wa kwanza mweusi kuwa Nuclear Scientist

    Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa. Masango alijiunga...
  14. JamiiForums Tanzania HILA SISI!; Sitii Neno Katika Hii, Hebu Soma Kwanza!.

    Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa kwanza wa Namibia Sam Nujoma amefariki akiwa na umri wa miaka 95

    Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana Hili hapa tangazo la Tanzia = Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
  17. JamiiForums Tanzania Mauzo ya tiketi za filamu katika sikukuu ya Mwaka Mpya wa China yaweka rekodi mpya na kunyakua nafasi ya kwanza duniani

    Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Filamu ya China zinaonesha kuwa hadi kufikia Februari 3, mauzo ya tiketi za filamu katika kipindi cha sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2025 yamefikia yuan bilioni 8.02 na kuweka rekodi mpya ya kihistoria. Kwa mujibu wa takwimu hizo, filamu ya katuni...
  18. JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

    Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy. Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha. Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia nafasi ya Urais CHADEMA: Cha kwanza nikishinda Urais nitabadilisha mfumo wa talaka. Nitahakikisha talaka haimuumizi mwanaume!

    Wanaume mpo? Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka. Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume. Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…