kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tufundishe soko la kustaafu la kwanza mpaka la saba mtasaidia wengi sana

    Rejea kichwa cha habari hapo juu naomba tuwe na somo.linalohusisha nini maana ya kustaafuu
  2. JamiiForums Tanzania Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

    Inasikitisha sana Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe. Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
  4. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza nilipotembelea Kumamoto, Japan

    Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndio movie ambazo zimetazamwa zaidi Netflix. Ya kwanza ni ya Kikorea. Ngapi kati ya hizi umeshaangalia?

    Wakuu, Jana Netflix walitangaza kwamba movie au animation ya "K Pop Demon Hunters" ndio movie ambayo imeangaliwa zaidi Netflix. Hiyo filamu iliingia sokoni mwezi Juni na kufikia sasa imeshatazamwa zaidi ya mara Milioni 236 ambapo inakuwa ndio filamu (sio series) iliyotazamwa zaidi Netflix...
  6. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Unapokuwa kwenye mazungumzo, ukitaka mtu akwambie ukweli unaoutaka mfanye acheke kwanza.

    Copy Code;
  7. JamiiForums Tanzania Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  8. JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  9. W

    JamiiForums Tanzania China yazindua mpango wa kwanza wa “Roboti anateweza kubeba Mimba”

    Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei hii ni ndogo mno ukilinganisha na gharama ya kupata mama mbadala (surrogate) binadamu, ambayo huanzia...
  10. JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Chuo Cha SAUT tumenyimwa ID ya special semester ya kwanza licha ya kumaliza ada kwa muhula wa kwanza

    Baada ya kutamatika kwa muhula wa pili wa masomo kwa chuo kiukuu cha SAUT utaratibu huwa ni mtihan ya Special na supplementary za semester ya kwanza kufanyika. Kwa ratiba ya chuo kuku cha SAUT mitihan imeanza kufanyika tarehe 12 /08 2025 na inatarajiwa kutamatika tarehe 19/08/2025 lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanatulia kimapenzi wakifika 30+, lakini wanaume wengi wakifika 30+ ndio kwanza kunakucha (wanakuwa active?)

    Nimekuwa nikiona pattern fulani ya ajabu kwenye mahusiano. Wanawake wengi wakiwa kwenye 20s wanakuwa na nguvu nyingi za kimapenzi, kupenda kujaribu mambo mapya na kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Lakini wakifika 30+ wengi huonekana “kutulia” wanapenda mtu mmoja, maisha ya utulivu na mara...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,ipo Mbweni Dar es salaam Tanzania, nyumba ni mpya ni ya kwanza kutoka barabara ya lami, bei ni billion 1,

    HOUSE FOR SALE Location: Mbweni JKT
Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,860
Umiliki: Hati miliki ipo, eneo lina hati mbili-eneo moja limejengwa jingine lipo wazi. 💰 Bei: TZS Bilioni 1 kwa hati zote mbili Sifa za Nyumba: #Vyumba 4 vyote ni master bedrooms (vina makabati) #Balcony mbili Sea View...
  15. JamiiForums Tanzania AsanteStars kwa kazi nzuri; Ila mashabiki tunazingua kiukweli watu wamekaa mavitambi hata kushangilia hakuna shame upon us

    Habari zenyu bhana najua hazina majotooo ! Kiukweli vijana wanapambana though kuna makosa mengi especially kwenye eneo la striking mostly huwa hamna utulivu mzuri wa kujenga mashambulizi pia middles zinapaswa kuwa na utulivu na kusogea mbele kwa speed. All in All vijana wanaubonda Hongera sana...
  16. JamiiForums Tanzania Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  17. JamiiForums Tanzania Nina shida ya softcopy ya kitabu Cha kiswahili na hisabati darasa la kwanza

    Mwenye uwezo wa kunisaidia nakala tajwa hapo juu anisaidie
  18. A

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  20. JamiiForums Tanzania Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…