Jamani najua mko poa!
Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello, yaani unakuta mkaka mzuri, msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni, hivi mnawekaga nini...