kuzingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

    Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B hafu basi. Hapana. Izo zilikua enzi za Land Rover 109 sio sahivi. Gari imekua zaidi ya chombo cha...
  2. Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    Mara kadhaa nimeona mijadala humu kuhusiana na single mothers, kwa wengi imekuwa ni ushujaa kuwasema vibaya hawa wanawake wenye mtoto ama watoto na kwa kweli walioamua kulea watoto wao bila uwepo wa baba. Kuwa single mother sio kilema, sio upungufu wa akili ni matokeo tu ya maisha, kifo ama...
  3. S

    Changamoto za Nywila Ndefu na Mbinu za Kuzingatia

    Katika pita pita zangu nimekutana na kitu kinacho ongelea ulimwengu wa usalama wa simu za mkononi, kundi la watafiti lilianza kuelewa jinsi watu wanavyochagua nywila zao. Walitaka kuona ikiwa nywila ndefu zilikuwa bora kila wakati. Kwa mshangao wao, waligundua kuwa nywila ndefu haikuwa daima...
  4. Huu ukaaji kwenye msiba wa Lowassa umepangwa kwa kuzingatia nini?

    Mhe. Rais ameketi katikati. Na tunazingatia kuwa upande wa kushoto ameketi mjane na familia ya Hayati Lowassa. MKono wake wa kuume wamekaa viongozi wa kitaifa. Lakini swali langu ni kuwa baada ya Rais ameketi CDF yaani Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Mkunda., halafu baada ya hapo...
  5. L

    Chama cha Kikomunisti cha China chaendelea kuwa na mvuto kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na msimamo mkali wa kuzingatia maadili

    Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
  6. Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

    MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
  7. S

    Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  8. Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  9. Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya: 1. Hakikisha gari iko vizuri 2. Ukiwa unaendesha na si mzoefu wa safari ndefu ni vizuri kusafiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5. Kama kwenu mbali yaani KM...
  10. Hivi kuna mwongozo wowote unaomlinda mlaji kwenye uuzwaji wa kuku? Kuzingatia uzito

    Hello JF? Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali. Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa. Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua...
  11. Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  12. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
  13. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  14. Mambo ya kuzingatia kabla hujasoma Biblia

    1: Biblia sio kitabu cha kidini Sio kitabu cha kubishania, Ni maelezo ya Mungu mfalme aliyeumba sio tu dunia bali trillions za sayari zenye viumbe wasiohesabika. Hiyo lazima uyasome kwa adabu. 2: Usiende na ajenda yako mfukoni. Nenda kama mualikwa wa ikulu ya mbinguni kusikiliza hotuba na...
  15. Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi. "Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+...
  16. Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  17. B

    Video: Waziri anapojinadi dhidi ya Katiba

    Hili ni jambo la hatari kubwa: Kwani katiba haiko wazi kwenye lipi?
  18. Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Kwa miaka ya sasa ni rahisi sana kuona mwalimu ana Masters/PhD lakini yupo tu anafundisha huko shuleni, ila mabosi wake wote wana Shahada. Huyu mwalimu mwenye Masters/PhD anaambulia kuhujumiwa tu na mabosi hao ili kumkatisha tamaa. Mfano, anaweza akawa amepata mchongo mahali pengine kutokana na...
  19. Mambo ya kuzingatia maishani

    Muabudu Mungu ipasavyo, tafuta hela za kutosha, fanya mazoezi, jali familia yako, Mpende mkeo, kula bata, saidia wengine, jiepushe na ugonvi jielimishe kadiri uwezavyo jaribu kuitafuta talanta yako (kipaji) epuka jinai. Mengine mnaweza kuongezea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…