Africa unaweza kuzikwa ukizimia

Africa unaweza kuzikwa ukizimia

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
333
Reaction score
1,261
1000264439.jpg
Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu.

Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/-

Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑 kumchukua kwa uangalifu au akipatiwa huduma ya kwanza.

Aliingizwa kwenye gari nyingine kwa kukaa (imagine)

Africa ukikaa vibaya unazikwa ukiwa umezimia ukamalizikie huko kaburini 😢 utajiri wako katikati ya Lindi la ufukara unakua hauna msaada.

Watu wengi hulalamika ooh Africa tunabaguliwa ooh Africa tunapuuzwa... Hivi nani anataka kuji associate kukumbatia huu UKUDA

Nani atajivunia watu WaPUUZI puuzi ambao hata Kuishi kwa ustaarabu wao kwa wao KUTENGENEZA uongozi Bora na kurekebisha hali za kwao kama jamii wanashindwa...

Fikiria hapo Jangwani karibu na Ofisi ya club kubwa Africa pananuka MAVI miaka nenda rudi... Pita kesho kama mvua haijanyesha uone kama nadanganya... Ila wanachangia MAMILIONI ya kampeni za nchi hii....
Ok so what .. PRIMITIVE tak
 
FAMILIA YENYE WATOTO WENGI NDO HUWA HAINA MAENDELEO

YOU KNOW WHAT ?

KWAKUWA KILA MTU ANA DECLINE RESPONSIBILITY.

THE IN AFRICA WATU HAWATAKI KUWA RESPONSIBLE NA MAISHA YAO NA KUCHUKUA TAHADHARI ZA KIMAKUSUDI.

THE ISSUE IS NOT AFRICA ILA WATU WAKE WANA POOR CULTURE.
 
Wazungu kutufananisha na MASHETANI wala hawajakosea ni haki yetu.

Afrika tumekalia ushirikina, ubinafsi na umwinyi. Yaani hatutaki kutoka nje ya box wenyewe kwa wenyewe hatupendani..

Kila mmoja anawaza kumnyonya mwenzie na kujitwalia mali ili akazitumie kwa wazungu badala ya kurekebisha kwetu..!!
 
Nliona mahojiano kati Hussein Machozi na kituo cha Star TV, Machozi anasema miaka hiyo anacheza mpira kagera huko
Inapigwa kona mwenzie akamgonga kisogoni, akazimia
Mwili kupelekwa hospital ya mkoa dokta akasema tayari kafa, taratibu za kutoa maiti kwa wanandugu zikaanza
Anasema kesho yake alfajir anastuka akiwa hatambui yuko waapi, kumbe mochwari
Sekeseke likaanzia hapo, anasema tangu siku hiyo hakuwahi kumuona tena yule dokta maana alikimbia
Ukweli kabisa Afrika tunazikana saana tukiwa tumezimia tuu
 
Karibu Africa mkuu, mwafrika anamlalamikia mwafrika.
 
Kuku ikipikwa minofu ya baba na wageni, migongo ya watoto😂
Tuna ubinafsi sana hiki kitu huwa sikipendi sana Mimi hata nikinunuaga samaki au kuku nagawana sawa kwa sawa na familia yangu 😎
 
Tuna ubinafsi sana hiki kitu huwa sikipendi sana Mimi hata nikinunuaga samaki au kuku nagawana sawa kwa sawa na familia yangu 😎
Bora nionekane mchoyo kuliko kuwalisha watoto wangu miguu ya kuku kwa mgeni wa kupita
 
Bora nionekane mchoyo kuliko kuwalisha watoto wangu miguu ya kuku kwa mgeni wa kupita
Exactly 💯 mgeni yake soda tu akiendelea kukaa unamzuga na movie afu unamwambie twende tukatembee tukashangae mji wageni wanapenda sana kamseleleko
 
Exactly 💯 mgeni yake soda tu akiendelea kukaa unamzuga na movie afu unamwambie twende tukatembee tukashangae mji wageni wanapenda sana kamseleleko
Kula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongo😂
 
Kula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongo😂
Mimi nikiwa mgeni wako 😎 napata mapaja mawili na uji mzigo 🔥
 
Kula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongo😂
Umenikumbusha kipindi nipo mafikinga Kuna mahali nilikaribishwa kula nilikuwa napiga fasta Mchele mixer nyama nikashangaa mwenyewe kanishika mkono 😀😀 hii ilitokea nikiwa na miaka 10 enzi hizo dah! Niliambiwa inatosha kijana
 
Ulileta uroho!😂
 
Back
Top Bottom