kuzikwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuzikwa na viungo ambavyo Kuna watu wanavihitaji? Iletwe sheria ya kuwapa incentives (motisha) watu wataovigawa wakifa.

    Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao. Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa ili ivishwe viatu vipya

    Waombolezaji waliofika katika boma moja eneo la Kilingili, Vihiga nchini Kenya wameachwa midomo wazi baada ya mwili wa marehemu kukataa kuingia ndani ya jeneza hadi ulipovishwa viatu vipya alivyokuwa amenunua. Duru zinaarifu kwamba jeneza lililetwa kisha jamaa na marafiki wa mwenda zake...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Buriani: Babu wa Loliondo kuzikwa kesho kijijini Samunge

  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TB Joshua kuzikwa Julai 11

    Mwili wa TB Joshua unatarajiwa kuzikwa Mwezi huu, Nchini Nigeria Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Nchini Humo TB Joshua atapumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Siku ya Jumapili (julai 11, 2021). Ikumbukwe TB Joshua alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 57 mwaka huu juni, 5 nchini humo. Taratibu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  6. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuzikwa kaburini, binadamu huchukua muda gani kuanza kuoza?

    Ndugu zangu, hongereni kwa weekend. Binadamu akishazikwa kaburini, inamchukua muda kuanza kuoza na hatimae kupoteza sura yake ya awali? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom