kuzikwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanda Banka

    Africa unaweza kuzikwa ukizimia

    Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu. Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/- Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑...
  2. Mstahiki Mea

    Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  3. tonicimmobility

    PostGE2025 Jenista Mhagama kuzikwa Desemba 16, Ruanda - Mbinga

    Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi Desemba 16, 2025. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bunge la Tanzania, maombolezo yameanza leo...
  4. M

    Usisahau kujenga Kwenu, Nyumbani ndio sehemu inayofaa kurudi ikiwa maisha ya ugenini yamekuwa magumu, kuuguzwa, kuzeekea na kuzikwa

    Kila mtu ana KWAO !! Hata kama umezaliwa na kukulia mjini, si vibaya kujenga nje ya mji kidogo. Ndio sehemu inayofaa zaidi Kurudi pale maisha ya ugenini yanapokushida Kuuguzwa unapoumwa kumalizia maisha ya uzeeni kuzikwa makao makuu ya familia
  5. Yoda

    Huyu kijana Charlie Kirk alikuwa shujaa wa nini huko Marekani mpaka anapewa heshima ya kuzikwa kijeshi na serikali ya Trump?

    Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na mwanahabari(mtandaoni) wa mrengo wa kulia/right winger/MAGA. Serikali nzima ya Marekani ya Trump imempa hadhi ya...
  6. TheChoji

    Zijue njia mbalimbali za kuzikwa wafu.

    Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika: 1. Kuzikwa ardhini (kaburini) Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa...
  7. R

    Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchini ya Afrika ya Kusini imeridhia kuipa familia...
  8. R

    Familia na Serikali zakubaliana Lungu kuzikwa Juni 22 Lusaka, Zambia

    Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu na mwili wake familia imefikia makubaliano na serikali juu ya mazishi ya Kiongozi Huyo na mpango wa...
  9. Komeo Lachuma

    Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  10. Yoda

    Wanakaribia kuzikwa, kijani anawasubiria tu

    Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
  11. Magical power

    Barua ya marehemu mama kwa mwanae - siku tatu baada ya kuzikwa

    BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini sasa nimeenda na baraka zangu. Chai ya asubuhi, chakula cha mchana na...
  12. Waufukweni

    TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  13. econonist

    Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

    Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika...
  14. W

    Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

    Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
  15. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  16. ELI COHEN

    Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
  17. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  18. L

    Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani. Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake. Chanzo cha habari yangu ni...
  19. W

    Mr Ibu kuzikwa leo

    Marehemu mwigizaji kutoka nchini John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa Amuri, Jimbo la Enugu. Mr Ibu alifariki dunia Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Evercare iliyopo nchini Nigeria ikiwa ni siku 118...
  20. mdukuzi

    TANZIA Sheikh Said Nyange afariki akihiji Mecca na kuzikwa hukohuko

    Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia. Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
Back
Top Bottom