Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...