Anyway kikubwa tuwe makini tu kama ulivyotuambia...!Mm nataka uhakika wa hiyo taarifa kam utaweza kutafsir kinachozungumzwa itapendeza zaid
Umepost video ya wajeda kupata ujauzito vitani kisha ukatutahadharisha tuwe makini as if unahofia tunaweza kupata ujauzito kwenye mapambano yetu mitaaniAmn mm nimeuliza tu kam lina ukweli na sio kwamba nakudharau
Kimsingi W moja inawahusu wao hao hivyo hakuna maajabu hizo zilizobaki tuziache.W.W.W
stands for what in the army?
Mliopita huko mnianbie!!