Kofia kama accessory, wanaume kwa wanawake wanavaa. Nyingi ni unisex.
Me napenda sana cap, kichwa kama boga lakini still napenda sana. Challenge kubwa ni joto, jasho linajaa sana nikiwa misele Dar.
Kuna hizi za kibabe kama Peaky Blinders ila ukivaa unaonekana dalali, wanavaaga watoto wa...