kuuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Aprtments hizi zineanza kuuzwa karibu utembelee mradi wetu

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  2. ELI COHEN

    Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  3. Keynez

    CHADEMA na Wanaharakati wajipange na wawe makini na taarifa za kuuzwa kwa hazina ya dhahabu

    Baada ya MO29, Wanaharakati na CHADEMA walisisitiza kwamba lazima haki ipatikane na kuwe na uwajibikaji kutokana na matukio yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Kampeni zikaanza ikiwemo za kukusanya vielelezo, kupinga tume feki ya Chande na kupeleka vielelezo vya kufungua...
  4. Imani rubaba

    🐖 Nguruwe mmoja anaweza kuuzwa hadi Tsh 1,000,000?👉 Unakubali au Unakataa?

    Hiki ni kipande kidogo (teaser) cha Episode ya Kwanza ya podcast yetu mpya SHAMBA TALKS 🎙️. Baada ya kusikiliza madai kutoka kwa wafugaji, sasa tunaingia upande wa kitaalamu— ✔️ Je, kibiashara inawezekana kweli? ✔️ Ni aina gani ya nguruwe? ✔️ Ni ufugaji wa namna gani unaofikisha thamani hiyo...
  5. H

    Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

    Habari wanajf Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE" Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa...
  6. K

    Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Habarini ndugu. Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+ Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru...
  7. King Leon 1

    Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

    Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa...
  8. P

    Napinga kuuzwa kwa mradi wa dege eco village

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopata wazo la kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama Dege Eco Village. Huu ni mradi wa kipekee kabisa na wenye manufaa ya si tu kiuchumi bali pia kupendezesha jiji la Dar es salaam na kuwafanya watu waishi katika mazingira mazuri na salama. Kutokana na faida...
  9. Keynez

    Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia ataka Tanzania ianze kuzalisha umeme wa Uranium, asema rasilimali hiyo itumike kuinufaisha nchi kabla ya kuuzwa nje

    Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
  11. BigTall

    Kuna wimbi la bidhaa feki nchini kuuzwa kwa bei sawa na bidhaa halisi; Mamlaka husika zinawalindaje walaji?

    Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo ambalo ni kilio kwa walaji. Uchunguzi huo ambao unawasilishwa kwenye andiko hili kwa ufupi...
  12. DELETED ACCOUNT

    Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

    Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo. Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama...
  13. X

    China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  14. M

    Kuna bidhaa nyingine ni aibu kuuzwa kando ya barabara na ni kupoteza mapato kwa serikali na kufanya mji kuwa hovyo.

    Serikali imejenga masoko rasmi ya kuuza mboga na vitafunwa vingine.Kupitia mzunguko huo nayo serikali inapata mapato kwa kukusanya ushuru.Lakini kwanini hawa wauza mbogamboga wamehama sokoni na kuja kando ya barabara huku serikali ikitazama masoko rasmi yakiwa yanakufa taratibu.?Serikali...
  15. O

    Anguko la kiwanda cha urafiki textile mill mpaka kuuzwa kwa nhc kwa tzs 3 billion

    Kampuni ya Tanzania-China Friendship Textile Company Limited (FTC), inayojulikana zaidi kama Urafiki Textile Company Ltd., ilikuwa miongoni mwa viwanda vikubwa vya nguo nchini Tanzania, iliyoanzishwa mwaka 1968 kwa msaada wa Serikali ya China chini ya mpango wao wa msaada wa kiufundi...
  16. Waufukweni

    Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  17. Morning_star

    Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  18. Mlaleo

    Pete ya Nasrallah kuuzwa kwa Mnada kwa yeyete Bei ya kuanzia mnada ni USD 113,000$ = na TZS Milion 300 na ushee

    Iranian network announces auction of Nasrallah's ring to aid Lebanese people, starting bid at $113,000 Lebanon News 2024-10-23 | 17:28 Mtandao wa "Ofogh" wa Iran ulitangaza kwenye akaunti yake ya X kwamba unapanga kupiga mnada pete ya Gaidi katibu mkuu wa zamani wa Hezbollah, Hassan Nasrallah...
  19. Mad Max

    Miaka 10 iliyopita iPhone 6 ilitoka na ya bei ya juu kabisa ilikua $499, mwaka huu iPhone 16 imetoka bei ya juu kabisa ni $1,599

    Wazee wa JF. Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus. iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB. Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB. Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
  20. ELI COHEN

    Sababu kubwa ya ulevi mkali kuoengezeka ni hizi pombe kali kuuzwa kwa kupimwa kidogo kidogo kwenye vichupa.

    Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored. Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua. Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
Back
Top Bottom