kuuza bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Natafuta kijana wa kazi wa kuuza bidhaa barabarani kwenye foleni Dar

    Habari wana JF natafuta vijana wa kuuza bidhaa kwenye foleni za Dar kwa aliye tayari anicheki kwa 0626333300
  2. Yoda

    Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  3. Heritage123

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa ya Aina Yoyote Mtandaoni (Mwongozo wa 2025)

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, kuuza bidhaa si lazima uwe na duka la kupanga — simu yako na intaneti inatosha kabisa kuendesha biashara yenye mafanikio. Haijalishi unauza nini: iwe ni bidhaa za mikononi, ebooks, huduma, nguo, vyakula, au kozi — kanuni hizi hapa zitakusaidia kuuza kwa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  5. Heritage123

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  6. P

    Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

    Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so. Asanteni
  7. suzie _barbie

    Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  8. Mrndumbarojl

    Kama wewe ni Muagizaji au muuzaji nje, itambue njia hii ya malipo – Mteja makini lazima aitumie, ukisita basi!-upgraded

    Leo tuzungumze kidogo kuhusu mfumo wa malipo unaowekwa kama kigezo cha biashara kufanyika. Wateja wako makini wanajiuliza, “Letter of Credit inaweza kutumika?” Hii ni jambo la msingi kwa wafanyabiashara wanaoagiza (BUY/IMPORT) na kuuza (SELL/EXPORT) nje! Ni kweli, lakini kuna changamoto. Je, LC...
  9. S

    Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

    Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
  10. G

    Wafanyabiashara tunaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi tunakatishwa tamaa kwa rushwa, hadi kujuana na wakubwa na umafia uliokithiri, Kuna mbadala?

    Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k. KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO Ni hadi uunge chain ili uuze nje sio kienyeji tu, kuna vyama vinaundwa vya watu wanaouza nje lakini...
  11. NetMaster

    Wafanyabiashara wanaonunua mizigo kwa kupewa risiti zenye kodi ya VAT wana sababu ipi ya kukwepa kodi kwa kuuza bidhaa bila kutoa risiti ya VAT?

    kwa wanaonunua mizigo bila kodi ya vat 18% naweza kuwaelewa kwamba wapo kundi moja na wale wa magendo, ila hawa wanaonunua mizigo yenye vat inakuwaje sasa. Mfano mfanyabiashara kaenda kufunga mzigo flani, huo mzigo alionunua ni mkubwa na kafaidika kwa punguzo la bei ya jumla, akipiga hesabu ya...
  12. L

    Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  13. Lady Whistledown

    Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  14. Crocodiletooth

    Kutokana na machinga kuuza bidhaa zinazolingana na za madukani, TRA watatenganishaje?

    Kutokana na machinga kuuza bidhaa zenye ukubwa pengine na hadhi inayofanana na bidhaa za maduka yanayotoa risiti ambayo ndiyo kampeni ijayo, TRA watatofautishaje? Bidhaa hizi? (Ipo haja ya kutengeneza machinga receipts) #kwa ukweli machinga wanavuruga mfumo wa ukusanyaji kodi.
Back
Top Bottom