Wafanyabiashara tunaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi tunakatishwa tamaa kwa rushwa, hadi kujuana na wakubwa na umafia uliokithiri, Kuna mbadala?

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
529
1,484
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.

KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO

Ni hadi uunge chain ili uuze nje sio kienyeji tu, kuna vyama vinaundwa vya watu wanaouza nje lakini kiuhalisia ni kama cartels hizi tunazoona kwenye series za kina pablo, wale madon wamegawana maeneo ya masoko ya nje inawezaa kuwa kwa kigezo cha mipaka, wateja, misimu, maeneo, n.k. na hata kujiunga kuwa mwanachama kuna ugumu usishangae kuambiwa "wote tukiuza nje nani atakusanya mzigo, we uwe dalali wetu uwe unatuuzia sisi kwa uhakika" na hata ukiwa mwanachama wa kawaida ukipata mteja huko nje inabidi ujaribu kuyajenga mapema na wazito wajue na wakupe ruhusa, naposema kuyajenga inabidi ukubali mgawane asilimia flani ya mauzo.

RUSHWA

ipo hivi mfanyabiashara wa mazao anayeuzia kenya anapaswa kuwa chini ya hivyo vyama na apewe namba za askari wa barrier zote kutokea arusha mpaka sokoni kenya, na pale border vilevile, kwa hiyo mzigo ukifika kabla haujafika barrier askari wanajua mzigo wa fulani unakuja, border vilevile, na wanakuwa kwenye payroll yako, unakuwa unawatoa kwa chochote kitu,

UMAFIA

kuna jamaa alitaka kuuza mazao nje ya nchi, alitaka kuuza independently bila kuwa chini ya hivyo vyama, kilichomkuta alijuta, mzigo wa tani 30 ulizuiliwa mpakani namanga, akaambiwa yana aflatoxin, marufuku kuingia kenya, alipambana kuhonga na nini lakini hakufanikiwa kuuingiza.

kama hujulikani wale mafia wakijua unapeleka mzigo, simu zinapigwa kote, zuieni huo mzigo! Baba hupiti!! Ukivuka barriers zote safari yako inaishia namanga, utatoboka hela hadi mzigo unakupiga hasara takatifu, pale border mwishoni watakuja wakukatishe tamaa kabisa, kisha wakuambie uwauzie wao kwa bei ya hasara, ukikubali(probably utakubali tu) wao wanayanunua, na kuyavusha kiulaini kabisa,unarudi home na hasara yako.

source
 
Mfano ni biashara ya mazao kuuza nje ya nchi.

Biashara ya mahindi ni nzuri sana kama ukiuzia nje ya nchi, mfano kenya au sudan kusini, ikiwa uko mikoa ya arusha au manyara ni bora zaidi, ila sasa! Ni hadi uunge chain, wakubali kukupa ushirikiano na kukupa hints kadha wa kadha, hujificha kwa kivuli cha kuzuga ni viongozi wa vyama vya wafanyabiashara ila hawa ndiyo ma mafia wenyewe,

kuna jamaa alitaka kuuza mazao nje ya nchi, alitaka kuuza independently bila kuwa chini ya hivyo vyama, kilichomkuta alijuta, mzigo wa tani 30 ulizuiliwa mpakani namanga,akaambiwa yana aflatoxin,marufuku kuingia kenya, alipambana kuhonga na nini lakini hakufanikiwa kuuingiza,, ipo hivi=mfanyabiashara wa mazao anayeuzia kenya anapaswa kuwa na namba za askari wa barrier zote kutokea arusha mpaka sokoni kenya,na pale border vilevile, kwa hiyo mzigo ukifika kabla haujafika barrier askari wanajua mzigo wa fulani unakuja,border vilevile,na wanakuwa kwenye payrol yako,unakuwa unawatoa kwa chochote kitu, sasa kama hujulikani wale wazoefu wakijua unapeleka mzigo, simu zinapigwa kote, zuieni huo mzigo! Baba hupiti!! Ukivuka barriers zote safari yako inaishia namanga, utatoboka hela hadi mzigo unakupiga hasara takatifu, pale border mwishoni watakuja wafanyabiashara wazoefu, wakukatishe tamaa kabisa, kisha wakuambie uwauzie wao kwa bei ya hasara, ukikubali(probably utakubali tu) wao wanayanunua, na kuyavusha kiulaini kabisa,unarudi home na hasara yako.
Mhh
 
Kwenye biashara za kuexport Tanzania tumefeli sababu ya wivu, uchayo, majungu na ukiritimba.

Tulishindwa kusafirisha matunda kwenda Arabuni, ushuru na vibali ni vingiii lakini mzigo unaharibikia airport sababu ya rushwa na hapo kila kitu umekamilisha na taratibu zote umefuata!! Hii nchi bana!!
 
aloo utafikiri unasafirisha ngada . ila kwakuwa unatafuta we jiunge kwenye chain na hao makontawa wa game tu mkuu
Mkuu,si rahisi sana, last year nilihudhuria mkutano wa chama cha wafanya biashara ya mazao kanda ya kaskazini, kulikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, jingine lilikuwa ni kupokea wanachama wapya, hapo ndipo nilichoka,kuna ubaguzi na fitna hata miongoni mwao, mimi mwenyewe nilikuwa natafuta kujiunga,na hao ma barrons wananijua vizuri,wengine ni ndugu zangu,ila nikaishia kuambiwa niendelee na udalali kwanza,eti wote tukiwa wafanyabiashara wakubwa nani atakusanya mzigo? Ila nakomaa nao,soon ntatoboa.
 
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.

KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO

Ni hadi uunge chain, wakubali kukupa ushirikiano, huficha umafia wao kwa kivuli cha kuunda vyama inabidi ujisajili kwao ufate masharti yao, ili mambo yaende inabidi mgawane asilimia flani ya mauzo, usiuze soko flani, n.k.

RUSHWA

ipo hivi mfanyabiashara wa mazao anayeuzia kenya anapaswa kuwa chini ya hivyo vyama na apewe namba za askari wa barrier zote kutokea arusha mpaka sokoni kenya, na pale border vilevile, kwa hiyo mzigo ukifika kabla haujafika barrier askari wanajua mzigo wa fulani unakuja, border vilevile, na wanakuwa kwenye payroll yako, unakuwa unawatoa kwa chochote kitu,

UMAFIA

kuna jamaa alitaka kuuza mazao nje ya nchi, alitaka kuuza independently bila kuwa chini ya hivyo vyama, kilichomkuta alijuta, mzigo wa tani 30 ulizuiliwa mpakani namanga, akaambiwa yana aflatoxin, marufuku kuingia kenya, alipambana kuhonga na nini lakini hakufanikiwa kuuingiza.

kama hujulikani wale mafia wakijua unapeleka mzigo, simu zinapigwa kote, zuieni huo mzigo! Baba hupiti!! Ukivuka barriers zote safari yako inaishia namanga, utatoboka hela hadi mzigo unakupiga hasara takatifu, pale border mwishoni watakuja wakukatishe tamaa kabisa, kisha wakuambie uwauzie wao kwa bei ya hasara, ukikubali(probably utakubali tu) wao wanayanunua, na kuyavusha kiulaini kabisa,unarudi home na hasara yako.

source
Source Capt Tamar
 
mwanzo mgumu mkuu kikubwa wewe kaza mpaka kieleweke.
 
Kitendo cha kudhoofisha usafirishaji bidhaa kwenye mipaka ya nchi jirani kinakosesha Mapato,fedha za kigeni,ajira.

Hata kupeleka uarabuni, China na nchi za ulaya mfanyabiashara mdogo anakutana na vikwazo vingi sana.
 
Sasa na yeye aliwachekea mimi tungegawana hasara. Nakwenda mahakamani, kwenye vyombo vya habari, takukuru, yaani lazima niwatoe jasho mbwa hao siku nyingine wakisikia mzigo wangu unakuja wataupisha maana wanajua balaa langu.
Kwa mahakama gani na takukuru gani? Mahakama ataitwa mtaalamu ili apime sample ya mzigo wako ambaye atasema kweli mzigo wako haifai hapo baada ya mwaka mzima, mwenye truck utaweza kumlipa siku zote hizo?
BIashara muda ni muhimu sana, hadi hiyo kesi unaimaliza umefilisika kulipa wakili, kusafiri kwenda mahakama ilipo, kumlipa mwenye lorry per day kwa mwaka mzima,
Na hadi hiyo kesi inaisha unaweza kuta kenya hawaitaji tena hiyo bidhaa au sheria zimeshabadilika na wewe chali, ndio maana wasomi kutoboa kwenye biashara ngumu, biashara hautaki ujuaji ni ujanja
Am talking from experience nilishampambania jamaa yangu na issue ya korosho hadi kesi inaisha alifilisika ingawa alishinda kesi, ila aliishia na madeni
 
ROHOMBAYA
Roho mbaya baina yetu ndiyo kikazi cha mambo mengi linapokuja kwenye suala la export mzigo nje.
Kwenye dili za kutoboa nje ya nchi wabongo tunabaniana sana.

SERUKALI HAISAIDII
Yani mtu unaweza ukawa una nia ya kutaka kusafirisha mzigo,ila utakutana na utitiri wa vibali ambavyo vyote ni gharama nzito bila Kujali kama wewe ndiyo kwanza waanza biashara

KUFELI KWA MABALOZI
Hawa majamaa wala hawaangahiki kusaka fursa za Masoko huko .
Yani ,viongozi wastaafu wa serikali na jeshi ndiyo huteuliwa kama zawadi.
Kazi zao kumpokea Rais au Makamu.
 
Sasa na yeye aliwachekea mimi tungegawana hasara. Nakwenda mahakamani, kwenye vyombo vya habari, takukuru, yaani lazima niwatoe jasho mbwa hao siku nyingine wakisikia mzigo wangu unakuja wataupisha maana wanajua balaa langu.
Vipi kama ni mali kuoza ( matunda,mbogaamboga) mzigo si utaoza mpakani wakati unatafuta haki
 
Sasa na yeye aliwachekea mimi tungegawana hasara. Nakwenda mahakamani, kwenye vyombo vya habari, takukuru, yaani lazima niwatoe jasho mbwa hao siku nyingine wakisikia mzigo wangu unakuja wataupisha maana wanajua balaa langu.
Utamshtaki nani sasa mkuu na ni system? Na ukimpata wa kumshtaki hiyo kesi mpaka iishe, ushinde na hao watuhumiwa wachukuliwe hatua hiyo gharama ya muda na fedha utakayotumia ni bora ufanye namna ujiunge nao kwenye system chain.
 
Tatizo kubwa ninaloliona kwenye hii mifumo yetu ni kua watunga Sheria na sera wana maslahi ndani yake
Unaongelea utitiri wa vibali vilivyowekwa na hawa wabunge kupitia Sheria zao za ajabu Kwa sababu wanajua ni ngumu Kwa mtu asie kwenye mfumo kukamilisha
Mbunge ndie anaekusanya mazao Kwa bei ya ulaghai toka Kwa wakulima kisha anapeleka nje hivyo lazima afanye kila namna kuwabana hawa wakulima wasipate nafasi ya kupeleka mazao nje
After all ,these shits do happen globally, syndicates and cartels do exist in each and every sector where money is involved
 
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k.

KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO

Ni hadi uunge chain, wakubali kukupa ushirikiano, huficha umafia wao kwa kivuli cha kuunda vyama inabidi ujisajili kwao ufate masharti yao, ili mambo yaende inabidi mgawane asilimia flani ya mauzo, usiuze soko flani, n.k.

RUSHWA

ipo hivi mfanyabiashara wa mazao anayeuzia kenya anapaswa kuwa chini ya hivyo vyama na apewe namba za askari wa barrier zote kutokea arusha mpaka sokoni kenya, na pale border vilevile, kwa hiyo mzigo ukifika kabla haujafika barrier askari wanajua mzigo wa fulani unakuja, border vilevile, na wanakuwa kwenye payroll yako, unakuwa unawatoa kwa chochote kitu,

UMAFIA

kuna jamaa alitaka kuuza mazao nje ya nchi, alitaka kuuza independently bila kuwa chini ya hivyo vyama, kilichomkuta alijuta, mzigo wa tani 30 ulizuiliwa mpakani namanga, akaambiwa yana aflatoxin, marufuku kuingia kenya, alipambana kuhonga na nini lakini hakufanikiwa kuuingiza.

kama hujulikani wale mafia wakijua unapeleka mzigo, simu zinapigwa kote, zuieni huo mzigo! Baba hupiti!! Ukivuka barriers zote safari yako inaishia namanga, utatoboka hela hadi mzigo unakupiga hasara takatifu, pale border mwishoni watakuja wakukatishe tamaa kabisa, kisha wakuambie uwauzie wao kwa bei ya hasara, ukikubali(probably utakubali tu) wao wanayanunua, na kuyavusha kiulaini kabisa,unarudi home na hasara yako.

source
If you can't beat them join them!
 
Mkuu,si rahisi sana, last year nilihudhuria mkutano wa chama cha wafanya biashara ya mazao kanda ya kaskazini, kulikuwa na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama, jingine lilikuwa ni kupokea wanachama wapya, hapo ndipo nilichoka,kuna ubaguzi na fitna hata miongoni mwao, mimi mwenyewe nilikuwa natafuta kujiunga,na hao ma barrons wananijua vizuri,wengine ni ndugu zangu,ila nikaishia kuambiwa niendelee na udalali kwanza,eti wote tukiwa wafanyabiashara wakubwa nani atakusanya mzigo? Ila nakomaa nao,soon ntatoboa.
Wapuuzi sana , wakati soko la Kenya hata hawawezi kutosheleza
 
Back
Top Bottom