kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti, Kagera: Ndani ya miezi miwili watu 33 wameripotiwa kuuawa

    Matukio ya watu wawili kuripotiwa kuuliwa kwa vitu vyenye ncha kali hivi karibuni Mtaa wa Kyaya, Kagera yameongeza mazingira ya hofu kwa baadhi ya Wananchi kutokana na mwenendo takwimu za mauaji kuongezeka. Akizungumzia hali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kagera, William Mwampaghale amesema “Kati...
  3. JamiiForums Tanzania Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  4. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

    Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
  5. JamiiForums Tanzania Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  6. JamiiForums Tanzania Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

    Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani. Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
  7. JamiiForums Tanzania Familia yagoma kumzika ndugu anayedaiwa kuuawa kwa kipigo

    Mwili wa Ibrahim Shakiru (16) utaendelea kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Bugando mpaka pale familia ya mtoto huyo itakapoelezwa hatua zilizochukiliwa dhidi ya watu waliomshambulia na kusababisha kifo cha mtoto wao. Ibrahim anadaiwa kufariki Jumatano Oktoba 26, katika...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza ataka uchunguzi wahalifu kuuawa na Polisi

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu yaliyosababisha baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa wahalifu kuuawa na askari Polisi, ni vyombo hivyo kukubali...
  9. JamiiForums Tanzania Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
  10. JamiiForums Tanzania Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  11. JamiiForums Tanzania Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  12. JamiiForums Tanzania Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  13. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ya kuuawa kwa Makasisi wa Kanisa Katoliki?

    Ndani ya mwaka mmoja Makasisi wawili wa Kanisa Katoliki wameuawa kikatili mmoja huko Dar es Salaam na mwingine huko Mbeya. Vifo vya Makasisi tena kwa kulengwa na kuteswa hakika si jambo la kupuuzwa hata kidogo! Kanisa Katoliki yalipasa kwanza like likemee tabia hiyo na pili lichunguze lenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi, Vladimir Putin 'Chupuchupu' kuuawa

    Habari kutoka Shirika la habari la Reuters zinaeleza kwamba Jasusi mbobezi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alinusirika Kuuawa mwanzoni kabisa mwa mgogoro wa Vita ya Ukraine. Kwa sasa Putin inawezekana ndiye Rais anayeishi kwa wasiwasi mkubwa kuliko Marais wote wa nchi nyingine duniani. Putin...
  17. JamiiForums Tanzania Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

    Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi. Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
  20. JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…