kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inakalia kimya matukio ya Watu kutekwa na kuuawa? Utawala uliopita mambo yalianza hivi hivi

    Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake. Tukumbuke...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna anayejadili hatima ya Mtanzania anayeshikiliwa na HAMAS baada ya mmoja kuuawa?

    Baada ya kuchinjwa kwa huyu dogo hapa chini, je aliyebaki kama mateka wa HAMAS, kuna yeyote anafanya jitihada za kuwabembeleza HAMAS wamuachie? Maana mpaka sasa tunaona wanaachiwa wa Israel, Wamarekani, wa-Thai na mataifa mengine, vipi hatima ya mwana EAC mwenzetu. Wafia dini kwenye hili...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye HAMAS yakiri kuuawa kwa makamanda wake watatu waliouliwa ndani ya handaki

    Mpaka sasa sijaelewa HAMAS walikusudia kupata nini kwenye hivi vita, wamepoteza kwa Gaza kugeuzwa shamba, wamepoteza makamanda na wapiganaji wengi sana, Wapaletsina wameuawa zaidi ya 15,000 na sasa wapo kwenye harakati za kurudisha mateka almradi Israel ipunguze mapigo na wananchi wapate...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania EU yasema Watu 100 wahofiwa kuuawa nchini Burkina Faso

    Umoja wa Ulaya (EU) umetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya Watu 100 kuuawa katika Vijiji kadhaa Nchini Burkina Faso hasa katika Kijiji cha Zaongo. Marekani pia imetoa kauli ya kulaani mauaji hayo licha ya Serikali ya Kijeshi ya Burkina Faso kutotoa kauli yoyote hadharani juu ya taarifa hizo...
  7. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mke akoswakoswa kuuawa na mume wake kwa kisu

    Munghonie bhandu bha kyala? Mwiputie? Haya bondeni tena huko, kijana aliyefahamika kwa jina la Ntembeko Myalo anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kujaribu kumuua mke wake kwa kumchoma na visu. Kijana huyo alikua ni wanafunzi wa chuo cha western cape na mkewe akisoma Cape Peninsula...
  8. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

    Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza. Hii ni unit nzima ya wanajeshi wa Israel waliouliwa wote na Kombora la Hamas hii imewafanya hadi...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu mwingine wa HAMAS apigwa risasi na kuuawa

    Huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote, Israel wanaendelea na fagia fagia za HAMAS, wanafyeka sio mchezo. =========================== The Israeli military said it killed a Hamas commander as part of strikes on some 250 targets Sunday, mostly in the northern Gaza Strip. The commander was...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 580 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya Israel na HAMAS

    ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la HAMAS kutoka Palestina na Jeshi la Israel Mapigano yanaendelea hadi sasa ambapo Waziri Mkuu wa Israel...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi wanatelekezwa kila wanapojeruhiwa au kuuawa

    Malalamiko yameibuka jinsi wanajeshi wa Urusi wanaachwa wajifie kwenye nchi ya watu kila wakijeruhiwa, maana wenzao wanakimbia mapambano ilhali Urusi haijali. Kuna matatizo mengi sana ikiwemo wanajeshi kujinunulia baadhi ya vitendea kazi maana Urusi imeishiwa. =================== Russian troops...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mwanaume waokotwa mitaa ya Jangwani, inadaiwa alishambuliwa, kuuawa kisha kutupa

    Mida ya saa kumi jioni ya leo Septemba 4, 2023 nilipita maeneo haya ya Jangwani karibu na mto, nikaona kuna mwili wa mwanaume ukiwa umetupwa. Mashuhuda wanadai itakuwa jamaa ameshambuliwa na kuuliwa kisha kutupwa eneo hilo. Sijajua huo mwili ni wan ani hasa lakini nimeshuhudia Jeshi la Polisi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahobokile Mwaitenda anusurika kuuawa kwa kuukosoa mkataba wa bandari!

    Ndugu Watanzania! Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni Mgombea Ubunge Jimbo la Rungwe, Mbeya Uchaguzi wa Oktoba 2020 kupitia CHEDEMA. Usiku wa 7 Julai 2023...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Pandikizi la Urusi, Crimea laponea kuuawa, mwendo wa kuishi kwa uwoga na kugeuza geuza kichwa

    Kiongozi aliyesimikwa na Urusi walipoiba ardhi ya Crimea ameponea kuuawa na jasusi la Ukraine, kwa sasa kila pandikizi anaishi kwa uwoga na kuangalia angalia nyuma na kugeuza geuza kichwa maana hakuna aliye salama, ukizingatia Putin mwenyewe drones zimewahi kumkuta ikulu..... Haya yote yataisha...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kikongwe wa miaka 90 adaiwa kuuawa kisa kumkataza kijana asipande mnazi

    Hilda Ngassa (90) ameuawa kwa kudaiwa kukatwa kwa panga na Yohana Luhanga (32) ambaye naye ameshambuliwa na wananchi wenye hasira kali na amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akipatiwa matatibabu. Inadaiwa sababu za kuuliwa kwa Hilda ni kutokana na kumkataza Luhanga asiangue...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kikundi cha mamluki cha Russia (Wagner) akiri wapiganaji wake 20,000 kuuawa Bakhmut, Ukraine

    Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema. Yevgeny Prigozhin alisema amewaandikisha wafungwa wapatao 50,000 kupigana na Wagner katika vita vya Russia nchini Ukraine...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  19. 5523

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 20,000 wa Urusi wadaiwa kuuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut, Ukraine

    Na BBC Swahili Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa Magharibi walikadiria kati ya wanajeshi 20,000 na 30,000 wa Urusi waliuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut tangu...
  20. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
Back
Top Bottom